Maandamano yameanza kufa kabla hata hayajaanza?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,098
Reaction score
871

Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
 
Huyu ameeleweka, ni njaa iliyomfanya asurrender. Haki lazima tuipate Tanzania
 
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
Mpuuzi mmoja. Eti mama Samia. Samia ni mama yake?
 
wakiwa wanakaza vinyeo wawe wanatumia mafuta Pddy maana hata mueleweki.Majigambo yenu
 
1783271247429.png
 
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
Maneno ya shombo yanachoma taifa,ongezeni bidii!
 
Na hela kulipa waandamanaji zimekamatwa

Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
Cheap childish propaganda!

Bila kuacha njia ovu mliyochagua, zimamoto strategies hazitakusaidieni kupata peace of mind. Mtahangaika sana!
 
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
Hata mimi sipendi vifo. Watulie tu majumbani,, ila kwa kweli wanajua kuwashughulisha wajeda na manjagu wanawafanya kuzurura hovyo kama watoto , na mizigo ya machuma chuma na kufunika uso kukosa hewa.

Halafu hakuna atakayetoka barabarani hata mmoja.
 
Mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tutakuwepo tena ntiti. Pale ndani 7/7 hapatoshi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Chawa upo busy kupanua hapa mdomo kama mkebe kwamba maandamano yamefeli halafu huko barabarani mmejaza policcm na jeshi la wanaccm.
 
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
John Heche hataandamana "akisingizia" yupo msibani. Sasa nyie wengine njooni. Wananchi tunasubiri "site*!
 
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
Mkuu now maisha mazuri hongera kaka
 
Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.

Sioni mantiki ya maandamano hayo ya 7/7. Ila nikuulize, NJIA ZA AMANI NA ZA KISHERIA ZIPI AMBAZO ZINAWEZESHA TOFAUTI ZA KISIASA NCHI HII? Unajua Oct 29 imefika hapa kwa sababu ya njia za Amani kutofanya kazi? Unawezaje Ondoa 100% ya wenye mawazo tofauti na wewe halafu ukategemea amani?
 
Back
Top Bottom