Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baraza la Vyama Vya Siasa liliketi kwa siku mbili na Wajumbe wa Vyama Vyote walitoa mawazo yao Nilichogundua Benson Kigaila wa Chadema Ule Mchango wake ndio umebebwa positively na Watanzania wote...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2017 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata mkopo kutoka benki ya dunia wa tsh billion 864 kwa ajiri ya kuongeza kina na kuimarusha gati (1-7) pamoja na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma == Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa...
1 Reactions
4 Replies
556 Views
Mkuu wa wilaya ya Chato mkoani Geita amekanusha uvumi wa kwamba mbuga ya wanyama ya Burigi Chato imefungwa na wanyama wamekufa au wamekimbilia kwingine. Mkuu huyo wa wilaya amesema mbuga hiyo ya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kabla hata ya mkuu wa Majeshi kuongea lolote hapa JF hizo story za Viongozi ambao wanaotuhumiwa kuwa raia wa nchi Jirani zilikuwa zimesambaa Sana. Binafsi siamini kama kweli Jeshi limechunguza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika Nchi yenye Changamoto kubwa ya Afya na Huduma zisizoridhisha za Afya eti unatenga Bilioni 900 kulipa posho? Aisee huu ni zaidi ya upigaji na sijui Kwa nini Kamati za Bunge na Serikali...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mbombo ngafu, hii imekaaje? CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari Wakuu, baada ya Bodi ya Sukari Nchini kutangaza bei elekezi ya Sukari, kuwa 2,700 hadi 3,200, kwa Kilogramu 1, siku 6 baadaye bado Wananchi wana sintofahamu nyingi sana Mimi binafsi nina...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kitendo cha kuwazuia Chadema kuandamana hapa Dar es salaam ni Kuwapa umaarufu wasiokuwa nao Waachwe Waandamane mtakuja kunishukuru baadae Maandamano pekee walivyofanya Chadema ni ya kumsindikiza...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 2, leo Januari 31, 2024. https://www.youtube.com/live/aKnZBQWXD_o?si=nsUmxYJmKTyrVV5i "Mchango wangu unajielekeza katika Muswada...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Watumishi wanauza vifaa tiba vya hospitali , zahanati nyingi zimegeuka magofu, tunaombwa rushwa kila kona ndiyo upate huduma. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi anesema Serikali itajenga Mifereji ya Maji kutoka Boko Basihaya na Tegeta hadi mto Tegeta na Maji ya mvua kupelekwa Baharini Ahadi ya Serikali imefuatia ombi la mbunge wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS) mkoa wa Tabora imeanza zoezi la kuondosha kwa kufyeka mazao yote ambayo yamelimwa na wakulima katika hifadhi za barabara. Zoezi hilo utekelezaji wake umeanza...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…