Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mh rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Baada ya kuchukua bandari zote za Tanganyika kwa mkataba wa kimangungo kwa ahadi kemukemu ambazo hazijaandikwa popote kwamba watazifanya bandari kuwa bora kwa kuvutia mizigo Afrika nzima, wameenda...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Karatu kwa muda mrefu na balozi msitaafu Dkt. Wilbroad Slaa amesema baada ya kupiga kelele kuhusu mkataba wa Kimangungo kati ya serikali ya Tanzania kukabidhi bandari...
17 Reactions
43 Replies
5K Views
Waziri George Simbachawene ameonya kuwa kwenye serikali hii nchi inanuka na rushwa imetapakaa kila kona wananchi wanateseka sana kwani kila wanapohitaji kupata huduma yoyote wanaombwa rushwa ili...
13 Reactions
110 Replies
7K Views
Salaam ndugu zangu, Nimekaa mtaani kwetu hapa takribani Miaka mitatu lakini sikuwahi kumjua Wala kumuona Mwenyekiti Wala Diwani wa Mtaani kwetu. Tumekuwa tukipata shida za Maji, changamoto za...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko babati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za...
3 Reactions
94 Replies
5K Views
Katibu mwenezi wa CCM komredi Makonda akisimamia jukwaani anajibu maswali yote anayoulizwa iwe ya CCM, Chadema, Serikali, ACT Wazalendo nk..nk Ni Kiongozi anayejiongeza!
0 Reactions
9 Replies
697 Views
Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo; 1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori 2. Oldonyosambu, Monduli...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Uganda imeanzisha mashauriano na Tanzania kuruhusu Kampuni ya Mafuta ya Kitaifa ya Uganda kuuza na kushughulikia uagizaji wa mafuta. Hatua hii inafuatia kukataliwa kwa leseni ya Kampuni ya Mafuta...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Habari wakuu, Naandika kidogo hapa maana mambo ni mengi,jana wakati naangalia taarifa ya habari nikaona habari kuwa kuna watu wametapeli wananchi zaidi ya milioni 900 kwa kuwauzia ardhi ambayo ni...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe. Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala...
29 Reactions
89 Replies
7K Views
Kulingana na kanuni za Bunge chama kinaweza kuunda serikali kivuli endapo angalau kitakuwa na wabunge wasiopungua 21 na kiwe kimepata angalau (12%)? ya kura za urais (ready to be corrected). Kwa...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
15 December 2023 Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza kusitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS uliopangwa kufanyika kesho jumamosi tarehe 16 December 2023...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA "Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
October 23 2016 Baraza la halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es salaam lilitangaza ushindi wa nafasi ya umeya kwa Benjamin Sitta ambaye alipigiwa kura na baadhi ya wajumbe. Lakini moja ya...
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Tanzania mwaka 2015 tulitangaziwa kama imempata RAIS wa WANYONGE Rais ambaye yupo karibu na Wananchi RAIS ambaye yupo kwa ajili ya Wanyonge Rais ambaye alitangaza atahakikisha Wanyonge wanaishi...
2 Reactions
1 Replies
508 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…