NHC yaendeleza maajabu kwenye mji wa Magufuli

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,755
15,238
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa makali sana yanaendelea kujengwa na kukamilika.

Kila kilichoanzishwa na Magufuli kitakamilika kama alivyopanga na wale wenye roho za korosho watateseka na kukonda maisha yao yote.

Karibuni Magufuli city Dodoma.

Swali kwa ma Engineer. Ni kwa nn gorofa nyingi za serikali na binafsi nchini Tanzania hazina underground parking ili ardhi itumike vzr kama ilivyo nchi zingine?
Una swali zuri sana
 
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa makali sana yanaendelea kujengwa na kukamilika.

Huyu si alitumbuliwa na Magufuli?
 
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa makali sana yanaendelea kujengwa na kukamilika.

Kiwanja hakikua cha kweke ?
 
Magufuli alikuwa ni Dikteta Uchwara na kundi lake la Wauwaji "Wasiojulikana" wakiwa wamembeba
2339015_Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Alipojua anakaribia kufa, Kila kitu akawa anakiita kwa jina lake, huo mji upewe jina jingine, daraja la Busisi, stendi ya mbezi....yaani Kila mahali
 
Dodoma iko binder la ufa, tahadhari za matetemeko ya ardhi vipiii?
 
Hizo pesa za kutengeneza majengo ya wizara zingeelekezwa kwenye miradi ya maji safi na miundombinu ya umeme na elimu, kulikuwa na haja gani ya kuhamishia serikali uko mavumbini
 
Back
Top Bottom