Paul Makonda: Ukimchukia Rais Samia unamkosea Mungu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,288
9,719
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko babati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.

Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.

Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana alikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.

Kwa hakika Mheshimiwa Makonda ni mtu ambae ukisikiliza hotuba zake lazima uguswe sana ndani ya moyo wako, ni mtu anayezungumza toka ndani kabisa ya moyo wake, ni mtu anayeongea na kuzungumza kwa kugusa hisia za watu,anaongea uhalisia wa maisha, anazungumza kile kinachogusa yale yaliyopo kwa watu na wananchi.ndio maana watu wanafurika na kumiminika sana kwenye mikutano yake.

Ni mtu ambae ukimsikiliza unapata matumaini na nguvu kubwa sana ya kusonga mbele kimapambano, maana anatia moyo na faraja sana ya kutokukata tamaa wala kujikatia tamaa wala kukatishwa tamaa na mtu yeyote yule.

Ni mtu ambaye anakuonyesha na kukupa nguvu kuwa ujapodharaulika leo mbele za wanadamu lakini mbele za Mungu una thamani sana na unaweza inuliwa na Mungu wakati wowote ule kutoka chini na kukuketisha mahali pa juu na mahali pa heshima,bila kujali historia yako,kipato chako wala familia uliotokea.kikubwa ni kuwa na imani, mnyenyekevu,tabia njema,ucha Mungu na hofu ya Mungu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
84e832cc-b853-40d1-bcf9-bd0d2aae2bec.sized-1000x1000.jpeg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.

Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.

Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hizo hisia kali ni wewe umeguswa. Kwahiyo jisemee wewe kama wewe na kama kulia we lia wewe kama wewe.
 
Kumchukia Samia ni kumchukia Mungu.

Haya makufuru yanafanyika kwenye mimbari za kisiasa. Kesho viongozi wa dini wakikemea majambazi ya CCM mnaanza hekaya za kutochanganya dini na siasa.

Laana haipo mbali ndugu yangu. Kisu cha mchinjaji kipo kwenye kinoo na sauti ni kubwa mno
 
Picha ya watoa machozi iko wapi wewe malaya wa akili?

Huyo zero brain mwenyewe wakati wa maporomoko ya udongo Hanang hakwenda alikua SA huko.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.

Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.

Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Upuuzi mtupu. Ama kweli mtu ukikosa akili, unakosa hata aibu.

Kama kuna mtu alitoa machozi, yumkini alimkumbuka Ben Sanane, na kustaajabu kuona muuaji anatamba majukwani bila ya kuwepo wa kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.

Mungu wetu, tunaomba laana itembee daima na mtu huyu na kizazi chake chote kwa uovu alioutenda na hadaa anazoendelea kuzifanya. Atembelee viongozi wote wa dini, apande mikokoteni na hata punda, lakini milele asipate amani moyoni mwake.

RIP Ben Sanane, RIP Azory Gwanda, na amani na mafanikio yaambatane na Tundu Lusu. Na zaidi ya yote, tunaomba utukufu wa Mungu uzidi kudhihirika dhidi ya mtu huyu na wale wote wenye kuambatana naye.
 
Kumchukia Samia ni kumchukia Mungu.

Haya makufuru yanafanyika kwenye mimbari za kisiasa. Kesho viongozi wa dini wakikemea majambazi ya CCM mnaanza hekaya za kutochanganya dini na siasa.

Laana haipo mbali ndugu yangu. Kisu cha mchinjaji kipo kwenye kinoo na sauti ni kubwa mno
"Mimi ni Mungu mwenye wivu"

Ukuu wa Mungu hauchangamanishwi na yeyote. Huyu ounguani anaitafuta laana ya Mungu. Anachokitafuta atakipata. Mungu huwa hachelewi, wala hakawii, hutenda kwa wakati wake.
 
Back
Top Bottom