Uzuri wa Mwenezi Makonda ni kwamba anajibu kwa niaba ya Chama na Serikali, na Hata kwa niaba ya Vyama vya Upinzani!

Katibu mwenezi wa CCM komredi Makonda akisimamia jukwaani anajibu maswali yote anayoulizwa iwe ya CCM, Chadema, Serikali, ACT Wazalendo nk..nk

Ni Kiongozi anayejiongeza!

Ndio awaambie wananchi kuwa Lisu hatashiriki maandamano, Hadi ameamua akimbilie Ivory coast? Huoni kama anarukia hata yaliyo nje ya mipaka yake? Au kwakuwa anahutubia wajinga basi anaweza kuongea chochote?
 
Katibu mwenezi wa CCM komredi Makonda akisimamia jukwaani anajibu maswali yote anayoulizwa iwe ya CCM, Chadema, Serikali, ACT Wazalendo nk..nk

Ni Kiongozi anayejiongeza!

Kabashite kamekurupukia cheo kuna umuhimu kapigwe induction course kajue majukumu yake ya uenezi kanajifanya ni kakatibu mkuu wa chama
 
Back
Top Bottom