Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli leo akiwa anaomba kura Karatu ambako ni nyumbani kwa Slaa amesema wazi kuwa tangia mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini Tanzania, kama...
28 Reactions
129 Replies
15K Views
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kufanya vibaya kwa MSD mwaka huu kwenye report ya CAG haitokani na sheria mbovu za manunuzi pekee mbali mipango mibovu ya uongozi wa bohari ya dawa. Amesema...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Rais Samia amesema anashangazwa na baadhi ya watu kutumia maisha yao kuchafua nchi yao Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla kwa kulitangaza vibaya huko kwenye anga za kimataifa. Rais Samia...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
- Mbowe adaiwa kumiliki Jumba Dubai, Ngeleja naye yumo Mwenyekiti wa Chama ch Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja na Mfanyabiashara...
1 Reactions
528 Replies
52K Views
Mbunge wa jimbo la Buchosa mh Erick Shigongo amesema miaka miwili iliyopita pato la taifa lilikua hadi kufikia dola 1080 na kuiwezesha Tanzania kuingia uchumi wa kati lakini sasa pato la taifa...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
Rais Samia wakati anawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua amesema kama kuna jambo ameligundua na linamtesa ni kwamba watumishi wengi wa umma hawajielewi na ili wawe na nidhamu ya kufanya kazi...
5 Reactions
60 Replies
8K Views
Hello wajamvi Mko salama kabisa. Nimeitoa mahali. Tuchambue hotuba za viongozi wetu. Leo ni yupi huwa akitoa hotuba anakuwa na tija? Mimi huyuu Waziri wa Habari na Teknolojia nawazagaa sana...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ushindi wa Profesa Hosea kwenye TLS licha ya kupingwa na Tundu Lissu imeendelea kuthibitisha kuwa Lissu haungwi mkono hata na mawakili wenzake. Ushindi wa Profesa. Hosea umeendelea kuthibitisha...
11 Reactions
86 Replies
9K Views
Rais Samia amesema aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na kuhamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje baadae akimwambia Rais pale Ulinzi ndio panamfaa zaidi na Rais Samia akamkubalia na kumrudisha Nafasi yake pale...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii wa awamu ya tano Dkt. Hamis Kigwangala alishawahi kunukuliwa akisema mwekezaji wa kitalu cha uwindaji Ngorongoro amekuwa na tabia ya kuhonga viongozi...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu kwa mara nyingine tena amewakumbusha timu gaidi kuwa kazi aliyoifanya hayati Magufuli akiwa Rais wa nchi hii ndani ya miaka mitano ni ya kupigiwa mfano na amemuombea...
35 Reactions
174 Replies
11K Views
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe...
10 Reactions
131 Replies
11K Views
Ilani ya CCM ya kuanzia mwaka 2020- 2025 yenye kurasa 303 imeahidi mambo mengi ikiwemo ujenzi wa flyovers kwenye makutano ya barabara za Mwenge, Buguruni, Moroco etc. Lakini tangu kufariki kwa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Video hii inaonyesha namna NHC ya mkurugenzi Nehemia Mchechu inavyoendelea kubadilisha mji wa kiserikali alimaarufu Magufuli city makao makuu ya nchi jijini Dodoma, nyumba nyingi na maghorofa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mh rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Baada ya kuchukua bandari zote za Tanganyika kwa mkataba wa kimangungo kwa ahadi kemukemu ambazo hazijaandikwa popote kwamba watazifanya bandari kuwa bora kwa kuvutia mizigo Afrika nzima, wameenda...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Karatu kwa muda mrefu na balozi msitaafu Dkt. Wilbroad Slaa amesema baada ya kupiga kelele kuhusu mkataba wa Kimangungo kati ya serikali ya Tanzania kukabidhi bandari...
17 Reactions
43 Replies
5K Views
Waziri George Simbachawene ameonya kuwa kwenye serikali hii nchi inanuka na rushwa imetapakaa kila kona wananchi wanateseka sana kwani kila wanapohitaji kupata huduma yoyote wanaombwa rushwa ili...
13 Reactions
110 Replies
7K Views
Salaam ndugu zangu, Nimekaa mtaani kwetu hapa takribani Miaka mitatu lakini sikuwahi kumjua Wala kumuona Mwenyekiti Wala Diwani wa Mtaani kwetu. Tumekuwa tukipata shida za Maji, changamoto za...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko babati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za...
3 Reactions
94 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…