Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,674
- 15,024
Ilani ya CCM ya kuanzia mwaka 2020- 2025 yenye kurasa 303 imeahidi mambo mengi ikiwemo ujenzi wa flyovers kwenye makutano ya barabara za Mwenge, Buguruni, Moroco etc.
Lakini tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli ahadi hizo zinaonekana kutelekezwa kabisa ! si viongozi wa serikali wala wa ccm wanaozungumzia ukamilishwaji wa ahadi hizo.
Wananchi tukatae upuuzwaji wa ahadi hizi muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu.