PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
921
Reaction score
3,207

Mwigizaji wa zamani wa maigizo @lucykomba_ ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania .jpg
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.

Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake

Pia soma:
PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania
 
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.

Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake

Pia soma: PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
Kalipwa na ccm huyu
 
DAMU za watoto walioshawishiwa kwenda kupambana na Mapolisi wenye silaha zimeanza kuwatafuna

Mnashawishi wengine wkt nyinyi mmejificha sehemu salama

Wanzenu wamezika sehemu za familia zao

Kuna yule mwengine sijui TFF nayeye kabanwa na njaa na kuomba omba kaona sio poa❗️

pengine nayeye kaombwa chochote😜
ndio akili ikamkaa sawa😜

na kuchutama halaka Kenya sio kuzuri pale kuomba omba wanaume wenzio❗️

Kapiga hesabu kaona kuchutama ndio msingi chap
kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania👈

na Wananchi wa Tanzania✍️

Mkiambiwa Tanzania hii ndio Mama ndio Baba 👈

uko kwengine sio
kwenu👈

tutunze Amani yetu itutunze👈

lkn kama ni Umasikini ni wetu sote kwapamoja tunaweza kujituma nasisi tukawa na maendeleo makubwa kama wengine👈

sasa mnachoma Tanzania ili mwende wapi nasisi wengine twende wapi 🫎🦘✍️
 
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.

Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake

Pia soma: PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
Nampenda huyu Dada
Hivi karibuni alianzishiwa zengwe na kijamaa Fulani
Akamkalia sana kooni dada wa watu.
 
DAMU za watoto walioshawishiwa kwenda kupambana na Mapolisi wenye silaha zimeanza kuwatafuna

Mnashawishi wengine wkt nyinyi mmejificha sehemu salama

Wanzenu wamezika sehemu za familia zao

Kuna yule mwengine kabanwa na njaa na kuomba omba kaona sio poa❗️

pengine nayeye kwaombwa chochote😜
ndio akili ikamkaa sawa na kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wananchi wa Tanzania✍️

Mkiambiwa Tanzania hii ndio Mama ndio Baba 👈

uko kwengine sio
kwenu👈

tutunze Amani yetu itutunze👈

lkn kama ni Umasikini ni wetu sote kwapamoja tunaweza kujituma nasisi tukawa na maendeleo makubwa kama wengine👈

sasa mnachoma Tanzania ili mwende wapi nasisi wengine twende wapi 🫎🦘✍️
Sasa na wale waliofia majumbani walishawishiwa na nani kubaki ndani?
 
Bado Mange Kimambi na Maria Tseshai.
 
Kwa ushawishi gani alionao mbona wanajipa umuhimu kwenye mambo ambayo hawana huwezo nayo ndo kwanza namuona huyu dada
 
Mie mwenyewe nimemjua leo, eti naye alikua na ushawishi wa kumuingiza mtu barabarani?
 
Wachochezi wameanza kutubu!!

Kabisa wamewaponza wenzao wengi 👈

wao wajiona Makamanda lkn wamejificha👈

pengine kuna kitu wanakutana nacho ndio mana wameanza kukumbuka mazuri nyumbani
Tanzania ✍️
 
Back
Top Bottom