Rais Museveni aondoka nchini baada ya kukamilisha ziara rasmi

Rais Museveni aondoka nchini baada ya kukamilisha ziara rasmi

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
530
Reaction score
361
RAIS MUSEVENI AONDOKA NCHINI BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA RASMI

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, ameondoka nchini tarehe 6 Agosti, 2026 baada ya Kukamilisha Ziara Rasmi ya Siku 2 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akiongozana na ujumbe wake, Rais Museveni ameagwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Kanali Mstaafu Fred Mwesigye na viongozi waandamizi wa Serikali.

RAIS  MUSEVENI AONDOKA NCHINI BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA RASMIRais wa Jamhuri ya Uganda, Mhesh...jpg
RAIS  MUSEVENI AONDOKA NCHINI BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA RASMIRais wa Jamhuri ya Uganda, Mhesh...jpg
RAIS  MUSEVENI AONDOKA NCHINI BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA RASMIRais wa Jamhuri ya Uganda, Mhesh...jpg
 
Hakuna lolote, ni ujinga kudhani mwarabu atawekeza upate faida..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom