Je, wajua kwamba Data za upelelezi utunzwa kwenye chanzo kimoja kinachoaminika kuondoa uwezo wa kusambaa kuharibu upelelezi?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,890
2,000
Usishangae Kwamba hata Kesi nyingi za uhujumu uchumi na uhaini data zake za upelelezi zinatunzwa sehem moja tu kupunguza uwezo wa Kuwa sehem mbali mbali kuharibu hatua za upelelezi kama watunza kumbu kumbu wengi watakuwa si waaminifu?

Kama nakosea ntaomba kusahihishwa

Lakin pia hii ya kuitunza sehem moja madhara yake makubwa ni kwamba mtuhumiwa akiusoma mchezo

Let say Rugemalila Au Sing Seth akajua ishu hii kwanza wanafurahiiii

Pili inakuwa hatua ya pili ya Kupanga nani wa kuwafanyia kazi ama ya kuchoma office husika au Kuiba kitunzio,

Vingi vinakuwa na Back up lakin tujiulize

Madhara yapi Kama mtuhumiwa ataweza kujua njia wanazozitumia kumchunguza na vielelezo vilivyoambatanishwa?

Kwa mtu mjanja wala haitaji kuiba kila kitu anaiba kinachomwezesha kujua trend ya upelelezi wake unafanyikaje na Vielelezo gani muhim

Hapa Kwa suala la DPP tumepigwa kama si mchezo wa serikali
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,544
2,000
Je, wale waliokuwa wameomba mahakama iwaachie wataja tulipa nao wameiba shuhuda zao kule mahakamani au sasa woote watajifanya hawajawahi kwiba? Ni wazo langu lakino kwa sababu naanza kuziona zile m50 kila kijiji zikipotea hivi hivi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom