Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi yangu nini hiki, aliyesema tutakunukisha ni muhaini, ila wanaoiba mali za umma kila uchwao waone aibu. Hawa wezi wa mali za umma ndio wahaini sasa, ukiachana na baadhi ya maeneo mijini...
3 Reactions
6 Replies
121 Views
Kafulila Atoa Wito wa Kutumia PPPs ili kuzuia kuongezeka kwa Deni la Taifa Arusha TICD, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP) nchini Tanzania, David Kafulila, amesema kuwa deni la Taifa la...
6 Reactions
20 Replies
588 Views
Wanabodi, Kufuatia kelele zinazoendelea kupigwa na watu mbalimbali, kuitaka Ripoti ya Jaji Chande iwekwe hadharani, kwanza nami niunge mkono hoja ya Vox Populi is Vox Dei, (sauti za watu ni sauti...
4 Reactions
22 Replies
410 Views
Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa na Jamii, Dkt. Faraja Kristomus, ameeleza kuwa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi alikiuka utaratibu wa kiofisi kwa kuamua kuweka wazi...
5 Reactions
26 Replies
706 Views
Katika mhadhara wa umma uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, alitoa hoja muhimu kuhusu nafasi ya sekta...
15 Reactions
31 Replies
583 Views
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya...
17 Reactions
386 Replies
20K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo ambapo tunatuma maombi kwa Rais Samia, aiweke hadharani ile Ripoti ya Jaji Chande, kwasababu hata Jaji Chande Mwenyewe, alidhamiria...
4 Reactions
18 Replies
381 Views
Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba yao, sheria zao, haki zao na wajibu wao. Kujitolea huku kuwa mwalimu wa...
28 Reactions
112 Replies
6K Views
Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena...
4 Reactions
46 Replies
624 Views
ORODHA YA WATU 1000 MASHUHURI TZ + WAPIGANIAJI MABADILIKO 1. Viongozi & Mashujaa wa Historia ∼80 Mwalimu Julius Nyerere, Abeid Karume, Rashid Kawawa, Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Edward...
15 Reactions
18 Replies
582 Views
Pascal Mayalla na britanicca hebu tupeni ubuyu wa nini kinaendelea kwenye jumba jeupe. Ili tufaidike na uwepo wenu humu JF, nasi tutembee kifua mbele huku tukitamba kwa kuwa members wa Jamiiforums.
12 Reactions
59 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa...
13 Reactions
111 Replies
2K Views
Raisi wa Iran leo kazungumza na dunia mbele ya mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa umoja wa Mataifa UNGA wa 81, Hotuba yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa ili kupata muelekeo wa...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya...
12 Reactions
326 Replies
4K Views
Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati...
7 Reactions
24 Replies
430 Views
Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar. Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa. Twenzetu China 😎
34 Reactions
72 Replies
2K Views
Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la...
4 Reactions
2 Replies
113 Views
Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha...
25 Reactions
34 Replies
553 Views
Back
Top Bottom