Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,879
- 6,363
Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.
Na sisi familia, kwa kweli hatufahamu kizanaki. Na mimi hata leo Wazanaki wanaweza kuongea hapa mbele yangu nisijue wanaongea nini
Na hili jambo lilikuwa linamshangaza Mwalimu. Anasema," Hawa watoto kweli ndio wa Tanzania ya leo. Yaani hata Kizanaki hawajui.
Lakini ingawa hatujui Kizanaki ilikuwa tunaelewa Bibi Mgaya anaongea nini. Bibi Mgaya alikuwa anamgombeza Mwalimu ( " kugombeza",nadhani ndio the correct word here). Anamwambia, "Tatizo lako huna foresight. Huwezi kufikiri kwamba nikifanya hivi, matokeo yatakuwa haya."
Kwa hiyo ataongea namna hii, maybe for half an hour, Mwalimu amesimama, anasikiliza attentively.
Mara nyingi, countless times, tumemsikia Bibi Mgaya anamwambia Mwalimu "Kwa nini huna foresight katika maamuzi yako?"
The reason why I say this ni kwa sababu nimefika juzi kutoka Butiama, na naona kwamba mimi pia sina foresight katika mambo ninayosema na kufanya. I ask myself why is this so?
Au ni kwa sababu I forgot to take the massive rock crystal.
Yes, dear reader, I have this massive rock crystal, katika pilika pilika za safari,I forgot it there.
Crystal, ni kama divining stone.
I am sure you have noticed, wapo " manabii" wengi sana. Wanasema,"Mwezi ujao balaa itatokea." I think you have noticed kwamba 99.9 per cent of the time,they are just speaking lies. It is because they don't have a crystal ball. Nawashauri watafute crystal ( ulanga) .
Na Ile crystal sijui niliisahau vipi. Na kama niliisahau, Ina maana nikienda nitaikuta ipo pale.