Wakuu salute!
Jioni ya leo nikiwa maeneo ya Tegeta namanga Dsm, nilipitia pub moja at least kupoza koo kwa 'kabia kamoja' kupoza machungu ya utafutaji. Si unajua ukiumbwa mwanaume...
Kumekuwepo...
Blessed is thyloard our CREATOR
Tanzania has so long be in a glorified fight against barbarism and planned colonialism. We have eversince survived the actions of non mercy bandits of humanity our...
Wala haitaji kutumia akili kubwa sana kumjua mchoraji mahili na mchoraji asie mahili.
Kama utakuwa ni mtu mwenye fikra pana na uonaji sahihi hakika utaona mchoro wake UMEPINDA!
Anataka aonekane...
WOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia...
Wewe Mtanzania kesho ndio siku maalumu uliyongojea miaka 5.
Hakuna siku nyingine uliyopewa zaidi ya kesho ya kuchagua kuumizwa tena 5 au kutoumizwa tena.
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku...
Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka...
Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu!
Na:KAWAWA
1. Elimu Bure
2. Barabara
3. Madaraja
4. Meli
5. Uchumi
6. Afya
7. Ndege
8. Viwanja vya Ndege
9. Maji
10...
Wanabodi,Mambo ya "SHIKWAMBI" .Ahaaa aaaaa unaweza kucheka lakini huu ndio uhalisia tutashinda kwa mbinu
Kabla ya mpira kuanza na filimbi kupigwa ili mpira uanze katikati ya uwanja tayari chadema...
Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao.
Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo...
Wadau wa JF, nawasalimuni nyote.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020...
Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei.
Dkt. Charles...
Ndugu zangu,
Nipo hapa maeneo ya Moshono jijini Arusha nimekutana na kundi la vijana ambao wanaonesha bashasha usoni mwao. Kijana mmoja amejitambulisha kwa majina ya Protas Shao akizungumza kwa...
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano...
Uchaguzi umemalizika. Kuhusu kama uchaguzi ulikuwa ni wa uhuru na haki, wote majibu tunayo moyoni. It was not.
Cha muhimu ni kwamba upinzani umegain enough momentum kiasi kwamba umekuwa tishio...
Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi...
30 OKTOBA 2020
Tumekuwa wafuatiliaji wakubwa wa kampeni zako tukiwa na matarajio ya kupata mengi mazuri baada ya kurudi kutoka Ubelgiji ukionyesha hali ya kushiriki vema katika kampeni zako.
Na...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to...
Matokeo ya Uchaguzi 2015:
Mh. John Magufuli 8.8 million
Mh. Edward Lowassa 6.0 million.
Wote tunakubaliana kwamba Idadi ya Kura za EL hazitabadilika. Zinazihitajika ni kura za ambao hawakupiga...
"Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.