Uchaguzi 2020 Namna ya kutafuta kura 3m zilizopelea 2015

mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,699
2,000
Matokeo ya Uchaguzi 2015:
Mh. John Magufuli 8.8 million
Mh. Edward Lowassa 6.0 million.

Wote tunakubaliana kwamba Idadi ya Kura za EL hazitabadilika. Zinazihitajika ni kura za ambao hawakupiga kura na ambao walimpigia JPM 2015.

Ili TL aweze kushinda anahitaji kura si chini ya mil 9.

Namna ya kutafuta kura 3.0 million zilizopelea::

Kama kura 3m tukigawa kwa Halmashauri zote 185 = 16,300 kura zinahitajika kwa kila Halmashauri nchi nzima.

Iwapo vijana 100 kwenye kila Halmashauri nchi nzima wakiingia mtaani ina maana kila kijana atahitajika kushawishi watu 163 au zaidi kupiga kura ili kupata idadi ya 16,300.

Nishawachambulia kazi kwenu.

Stay blessed
Maendeleo hayana chama

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wacha

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
1,038
1,500

Msikilize Pole Pole hapo juu, CCM wamewafunda wanachama wao na uhakika wa kura ulivyokaa leo hii akiongea na waandishi.
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,699
2,000

Msikilize Pole Pole hapo juu, CCM wamewafunda wanachama wao na uhakika wa kura ulivyokaa leo hii akiongea na waandishi.
Kama kukiwa hakuna uchakachuaji kura za JPM hazitazidi za 2015. Kumbuka JPM amewaondoa wagombea wengi wa CCM ambao walichaguliwa na wana CCM na kuweka wa kwake.

Rais Magufuli pia hajawavuta wapiga kura wa mtaani wa Upinzani kuja CCM. Aliwavutia wale waliokuwa kwenye nafasi za uongozi tu, ambao kuna tuhuma kama walinunuliwa.
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
974
1,000
Kama kukiwa hakuna uchakachuaji kura za JPM hazitazidi za 2015. Kumbuka JPM amewaondoa wagombea wengi wa CCM ambao walichaguliwa na wana CCM na kuweka wa kwake.

Rais Magufuli pia hajawavuta wapiga kura wa mtaani wa Upinzani kuja CCM. Aliwavutia wale waliokuwa kwenye nafasi za uongozi tu, ambao kuna tuhuma kama walinunuliwa.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Mbowe anawanachama wangapi nchi nzima?. Au umekalia ushabiki tu.
 
Wacha

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
1,038
1,500
Kama kukiwa hakuna uchakachuaji kura za JPM hazitazidi za 2015. Kumbuka JPM amewaondoa wagombea wengi wa CCM ambao walichaguliwa na wana CCM na kuweka wa kwake.

Rais Magufuli pia hajawavuta wapiga kura wa mtaani wa Upinzani kuja CCM. Aliwavutia wale waliokuwa kwenye nafasi za uongozi tu, ambao kuna tuhuma kama walinunuliwa.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Kuna Watanzania wengi ambao wameona kazi alizofanya JPM. FYI JPM hana mpinzani whether you like it or not.
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
1,960
2,000
Unadhani waliompigia Lowassa watampigia Magufuli? au sababu ambazo ziliwafanya kumpigia Lowassa ndugu JPM kazitatua?

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Walienda kwa Lowasa si kwa sababu walikuwa na shida bali walikuwa ni washabiki wake toka zamani na ni wana CCM, kwa hiyo huko chadema hawakuwa na ndugu tofauti na Lowasa.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
34,577
2,000
Lowasa aliondoka na kula zake milioni tatu akawaachia milioni moja tu, kwa hiyo mkijitahidi na za zito mtafikisha milioni tatu.

Lowassa hilo zee tapeli la kisiasa halikuja na kura zozote za maana bali alizikuta. Angeenda ACT, TLP nk angekuwa kama Membe hivi leo. Msitake kumpa Lowassa sifa ambazo hana.

Iwapo Membe angejiunga cdm na kupata nyomi anayopata Lisu sasa, mngesema cdm ilikuwa imekufa ila Membe ndio kawapa uhai.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom