Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.

F6E4D0FD-5CD3-4D30-BB5A-205B8EB65B0D.jpeg
 
Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.

View attachment 1576749

CCM na sheria zenu kandamizi mlizotunga mlijiona wajanja. Huku Lissu anawapiga spana huku Kachero mbobezi anaruka mitego yenu ya kisheria.

Mnasubiri Membe atangaze kumuunga mkono Lissu ili muwatumie NEC na Msajili kuviazibu vyama vyote viwili. Endeleeni kusubiria meli Dodoma.
 
Back
Top Bottom