Huu ndio mtazamo wangu juu ya uteuzi wa Makonda kama Katibu wa NEC wa itikadi na uenezi wa CCM ambao umefanywa leo na Halmashauri kuu ya CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu...
Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa...
Kwa aina ya uongozi wa CCM hasa kipindi hiki cha awamu ya sita Makonda alikuwa sahihi sana katika nafasi ya uenezi.
Bila shaka aliitendea nafasi hili hata wapinzani naamini wanafahamu kabisa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni kishindo, ni gumzo mtaani, ni kila mtu na neno lake, ni kila mtu na uchambuzi wake, ni kila mtu na mtizamo wake. Nchi imesimama, nchi imetetemeka, nchi imepiga saluti...
Msomi huyu nini kimemkuta ktk dakika hizi za majeruhi kuelekea uchaguzi? Maana mida hii kuna umbea na kusagiana kunguni hatari.
Au karopoka sehemu kuhusu uongozi wa mama? Mama hapendi sana...
Ukiangalia huo mtiririko utagundua hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa Utumishi wa Chama Tawala na Ule wa serikali
Hapo ni Balozi Polepole tu ndio Upepo ulimvumia vizuri
Nawatakieni Pasaka njema 😀
Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni.
Kwa...
Lakin saa inakuja, nayo sasa ipo, ambapo mtavuna mnachokipanda, kwa jicho la mbali mnamuona kama anakijenga chama, katika jicho la upeo wa roho anadhoofisha chama, bosi wake na Viongozi wakuu...
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na...
Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi.
Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa...
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu...
Ni Ukweli' ulio Wazi Siasa za 2015 ndio ziliondoa Kabisa Upendo Siasani
Machungu waliyopitia Friends of Lowassa watu wanayachukulia poa Lakini Wajue bado hayajapoa hadi yatakapojipoza
2025...
Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024...
Habari,
Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani...
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa...
Kuna watu wamezaliwa na bahati ila capacity na creativity hakuna. Watu kama Makonda wanachoweza nikudhalilisha wengine siyo kufanya kazi. Maisha yao yote wanaamini wao wanapaswa kuongoza na...
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza...