Msomi huyu nini kimemkuta ktk dakika hizi za majeruhi kuelekea uchaguzi? Maana mida hii kuna umbea na kusagiana kunguni hatari.
Au karopoka sehemu kuhusu uongozi wa mama? Mama hapendi sana kusemwa vibaya na viongozi wenzake. Si mnakumbuka ya Ndugai!!? Ama Ndalichako ndo anaandaliwa kutumbukizwa kwenye sinia lenye urojo (cheo kikubwa zaidi)?
Muda ni mwalimu tutajjua tu ukweli.