Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 .

Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ?

Screenshot_2023-10-07-11-22-55-1.png

Wanaoshindwa kujisimamia kwenye vijisheria vyao vidogo vidogo wataweza kusimamia Katiba ya Nchi ?
 
Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 .

Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ?

View attachment 2774543

Wanaoshindwa kujisimamia kwenye vijisheria vyao vidogo vidogo wataweza kusimamia Katiba ya Nchi ?
Kama Comrade Mzee Kingunge alikuwa kamanda wa you vee sisi emu huyu itashindikana
 
Katibu mkuu wa UVCCM hachaguliwi bali anateuliwa na Kamati kuu

Ni ajira hivyo kigezo cha umri hakimuhusu

Hata Jokate ana miaka 26 Lakini ni Katibu wa UWT

Ila Hamas sina hamu
Duh! Jokate alikuwa mkubwa anatafunwa na akina Diamond na Kiba wanapasiana kama Xavi na Iniesta mimi nikiwa dogo napuyanga huko o level, kumbe nilishamu overtake! Ngoja nikaze kumbe hata JB nitampita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Kama anaonekana hivi na ana miaka chini ya thelathini je akifikisha miaka arobaini si ataonekana kikongwe? hii inakuaje wengine waonekane very young wangali wana miaka mingi na wengine waonekane ni too old wangali wana miaka michachache, vise versa?
 
Katibu mkuu wa UVCCM hachaguliwi bali anateuliwa na Kamati kuu

Ni ajira hivyo kigezo cha umri hakimuhusu

Hata Jokate ana miaka 26 Lakini ni Katibu wa UWT

Ila Hamas sina hamu
Jokate ana miaka 26? Dah, aise kuna watu wamekatika mishipa ya aibu.

Jokate na Madam Wema Sepetu ni wa rika moja maana wote waligombea miss Tanzania 2006 huko na kipindi wanagombea maana yake walikuwa above 18.

Sasa piga tu hesabu rahisi kwamba 2006 alikuwa na miaka 18 hadi leo ama umri gani?
 
Back
Top Bottom