Rais Samia Suluhu Hassan mteue Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM, urudishe Amani ya chama

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
322
1,000
Mwenyekiti wangu wa chama Rais Mama Samia Suluhu Hassan, najua ilivyokuwa kwenye wakati mgumu kumpata mrithi wa mfitini wako Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa CCM.

Nakupendekezea kijana Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Huyu kijana ni wa chama kwa asili. Amekulia chama kuanzia Chipukizi hadi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa chama kabla ya kuwa Mbunge wa Mvomero na kisha Mkuu wa Mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya.

Makalla aliondolewa madarakani na mtangulizi wako kwa fitna tu za kupigania miradi ya chama. Kitendo cha kuwa karibu na Jakaya na Mzee Mwinyi kilimgharimu kwa Magufuli akatimuliwa kwenye mfumo wa Serikali.

Makalla anaweza kutuunganisha makundi yote ya chama msigani. Makalla ni "kiboko" na "dawa" ya wapinzani. Kama kada natoa maoni yangu, mpendekeze Amos Makalla kuwa Katibu wetu Mkuu wa CCM.
#FreedomIsBack
 

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
322
1,000
Hapo tu panatosha kabisa kumdisqualify kuwa na wadhifa mkubwa kama huo kwenye chama. Tunataka ccm inayosimamia maslahi ya nchi na wananchi wake, siyo maslahi ya watu fulani kulinda wizi wao, biashara haramu, uuza sembe, nk
Duh! Najuta kumpendwkeza Makalla ila ni kiongozi makini sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom