chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,870
- 28,130
Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo.
Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga.
Mang'ana ghasarikile!!
Waitara ni moja kati ya watanzania ambao mwaka 2020 walioupenda wimbo wa "nibebee nibeebe nibebee nibeebe, nibembeleze nibebee....." Ulioimbwa na Rose Muhando, hata hivyo haitarajiwi Rose Muhando atatoa wimbo kama huo 2025