Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao:
1. Harrison Mwakyembe
2. Mark Mwandosya
3. Job Ndugai.
Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa...
KASAKA ATOA MKONO WA EID JIMBONI LUPA
Leo tarehe 10.04.2024
Mbunge wa Jimbo la Lupa (Chunya) Mhe: Masache Njelu Kasaka Ametoa Salam za Eid Al fitri kwa Waumini wa Kiislam Wilaya ya Chunya katika...
Nimeona madhara yaliyoletwa na maji kwenye eneo la Rufiji. Nafahamu wapo watu wanapiga propaganda kuhusu bwawa la umeme kuwa ni chanzo cha mafuriko haya.
Ndugu zangu tumetoka kwenye mgawo wa...
Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi.
Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa...
Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka.
Sijasomea uchumi kokote
Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu
Sarafu yetu inaporomoka.
Hatuuzi nje.
Hatupati dolla nyingi.
Matokeo yake dolla...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi...
Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote?
Kwa upande wako...
Mshituko mkubwa nimeupata baada ya kugundua kuwa watanzania wengi wamezitunza video mbalimbali za hayati Magufuli kama reference na kipimo cha kupima utendaji wa serikali iliyopo madarakani na...
Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.
Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa...
Kelele ni nyingi na shahuku ni kubwa lakini maneno yangu ni machache;
[emoji419]Makonda hatakuwa na wakati mzuri wakati huu ambapo kundi la Msoga lina nguvu ndani ya CCM na Serikali. Kundi la...
Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi na uchukuzi ametembelea maghorofa ya Magomeni kota na kukuta ujenzi wake umekamilika kwa 100% na muda wowote kuanzia sasa wananchi watakabidhiwa makazi yao mapya...
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo...
Kama malalamiko yaliyotolewa bungeni na mbunge wa mafinga bwana Chumi kwamba Tanesco wameshaanza mchakato wa kuanza kuagiza tena nguzo za umeme nje nchi ni ya kweli basi Tanzania uzalendo ni kitu...
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.
Wakati hali...
Mara baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kujiunga na kuinunua CHADEMA ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati...
Mchambuzi kwenye gazeti hilo ambaye ni mfanyakazi aliyepita wa shirika la afya duniani (WHO) amesema kitendo cha Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu hasa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo...
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake...
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hali ya kisiasa kwa chama hicho inazidi kuwa mbaya zaidi kwenye serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa sababu sasa hawaruhusiwi...