Tabasamu la Sabaya mahakamani lawatesa mafisadi

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,384
Reaction score
5,330
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.

Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.​

20211101_193333.jpg
 
F
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Lofa tu huyo kwani hata kesi ya kwanza si alikuwa anachekacheka Kama mbuzi wa ndafu....na akachukua 30
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900

..huenda anapenda kuwa jela kuliko uraiani.

..inasikitisha sabaya ameachwa ahangaike na kesi peke yake.

..uvccm wako wapi kuweka pressure kijana mwenzao aliyekitumikia chama aachiwe huru?
 
Sabaya ni jambazi kabisa.....hii kesi ya pili analiwa pia....labda ije huruma ya mama kusawazisha mchezo maana siasa ni michezo michafu kodi zetu zinateketeaaa
Kama mbowe alivyogaidi
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900
Kweli ccm mmeishiwa, juz kulikuwa na uzi humu kuwa Tabasamu la Mbowe lawatesa wabambikia kesi, na ww umeiga hivyo hivyo!
 
..huenda anapenda kuwa jela kuliko uraiani.

..inasikitisha sabaya ameachwa ahangaike na kesi peke yake.

..uvccm wako wapi kuweka pressure kijana mwenzao aliyekitumikia chama aachiwe huru
Hamna kesi hapo, kama mbakaji babu Seya aliachiwa sembuse kijana mchapazi Sabaya aliyetuondolea gaidi wilaya ya Hai
 
Anajitabasamisha!! Bado makesi kibao ya takukuru yanamsubiri Kule kilimanjaro daadek.
Tunajua watamtafutia namna wamtoe kijana wao wa 'yuvisisemu' lakini no aibu kwake,familia yake na lichama lake
Sabaya atatoka huko na kuja kuwa kiongozi wako maana gaidi umri umeenda hawezi kuwa mbunge wa Hai tena.
 
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake kinyume kabisa na matarajio ya mafisadi waliomsingizia kuiba simu ya Tecno na kisha kufungwa miaka 30 jela.

Video za bank zimeonyeshwa hapo mahakamani na akaonekana mtu anajaza hela kwenye box na kisha kutokomea nazo.View attachment 1994900

Jambazi anakula MVUA nyingine kwenye hii kesi ,Sabaya hakuonewa wala kusingiziwa unless una ulemavu wa macho ,kwenye clip zinaonyesha Jambazi Sabaya kashika SMG anampiga mitama mmliki wa duka na kumchapa makofi halafu unasema eti amesingiziwa?

Nashauri Mh Hakimu kwenye hii kesi amlambe miaka 10 tena aitumikie baada ya kumaliza mvua 30.
 
Back
Top Bottom