Hai, Kilimanjaro: Vurugu kubwa kwenye tukio la Mwenge, wananchi wadai kuporwa ardhi na mamlaka ya Bonde la mto Pangani

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,328
24,234
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI

Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu ya vyombo vya dola ...
Bodi ya Maji ya Bonde la Pangani’. kazi zake ni kutoa elimu ya uelewa wa Bonde na utendaji kazi wake, kupata taarifa muhimu, kutoa maoni, kujadili changamoto, kuleta fursa na kupendekeza mbinu bora ya kusonga mbele ili tufikie lengo letu la pamoja la kusimamia Rasilimali za Maji kwa njia endelevu.

Ni imani yetu kuwa uwepo wa tovuti hii utaongeza ushiriki wa wadau katika ulinzi na uhifadhi wa vyanzo vya maji kulingana na kauli mbiu yetu ambayo inasema katika tovuti ya Bonde la Pangani
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=eoAr_stunRA

Bodi ya Maji ya Bonde la Pangani’. kazi zake ni kutoa elimu ya uelewa wa Bonde na utendaji kazi wake, kupata taarifa muhimu, kutoa maoni, kujadili changamoto, kuleta fursa na kupendekeza mbinu bora ya kusonga mbele ili tufikie lengo letu la pamoja la kusimamia Rasilimali za Maji kwa njia endelevu. Ni imani yetu kuwa uwepo wa tovuti hii utaongeza ushiriki wa wadau katika ulinzi na uhifadhi wa vyanzo vya maji kulingana na kauli mbiu yetu ambayo inasema katika tovuti ya Bonde la Pangani

Nao wananchi miyeyusho wamengoja mwenge nao walikua na haki ya kutoa malalamiko yao kwa viongozi wao waliopo!
 
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI

Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu ya vyombo vya dola ...

Bodi ya Maji ya Bonde la Pangani’. kazi zake ni kutoa elimu ya uelewa wa Bonde na utendaji kazi wake, kupata taarifa muhimu, kutoa maoni, kujadili changamoto, kuleta fursa na kupendekeza mbinu bora ya kusonga mbele ili tufikie lengo letu la pamoja la kusimamia Rasilimali za Maji kwa njia endelevu.

Ni imani yetu kuwa uwepo wa tovuti hii utaongeza ushiriki wa wadau katika ulinzi na uhifadhi wa vyanzo vya maji kulingana na kauli mbiu yetu ambayo inasema katika tovuti ya Bonde la Pangani

😆😆😆😆😆 Safi sana !
 
DC,DSO, OCD, DED, DAS,, Mbunge na Diwani waeneo Hilo, sio watu wa kuaminika na Kuna uwezekano mkubwa, kuhamishwa kikazi au kushushwa nafasi zao.

Diwani na Mbunge wa huko 2025 wamekalia kuti kavu.
 
Wangeuchoma moto kabisa huo mwenge na kuuvunjavunja.li kitu linatumia Kodi zetu bila faida yeyote.
 
Kama chadema wameanza hujuma kwa shuhuli za mwenge hii itawatokea puania wallah
 
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI

Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu ya vyombo vya dola ...

Bodi ya Maji ya Bonde la Pangani’. kazi zake ni kutoa elimu ya uelewa wa Bonde na utendaji kazi wake, kupata taarifa muhimu, kutoa maoni, kujadili changamoto, kuleta fursa na kupendekeza mbinu bora ya kusonga mbele ili tufikie lengo letu la pamoja la kusimamia Rasilimali za Maji kwa njia endelevu.

Ni imani yetu kuwa uwepo wa tovuti hii utaongeza ushiriki wa wadau katika ulinzi na uhifadhi wa vyanzo vya maji kulingana na kauli mbiu yetu ambayo inasema katika tovuti ya Bonde la Pangani

Mwenge ndio ulienda kupora maeneo yao? Hao wamepangwa na Mbowe, washughulikiwe ipasavyo.
 
DC,DSO, OCD, DED, DAS,, Mbunge na Diwani waeneo Hilo, sio watu wa kuaminika na Kuna uwezekano mkubwa, kuhamishwa kikazi au kushushwa nafasi zao.

Diwani na Mbunge wa huko 2025 wamekalia kuti kavu.
Kuti kavu likigoma kuanguka ila ukipigatu kiberiti limewakaaaa
 
Kumbe,ndio maana yule kamanda akawa anasisitiza kuwa jeshi limejizatiti kudhibiti vurugu kwenye shughuli ya uwashaji mwenge.

Itakuwa alizipata taarifa kuwa Watu watatumia hiyo guess kudai
 
Back
Top Bottom