Miaka mitatu ya Rais Samia hamna hata flyover moja?

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,755
15,238
Ilani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi?

Basi kama lengo la Rais Samia ni kuendeleza tu mazuri ya awamu ya tano basi kulikuwa hamna haja ya kuandika makurasa 303 kwenye ilani, badala yake wangeandika tu msitari mmoja tu kwamba 2020 - 2025 ni kukamilisha miradi ya Magufuli.
 
Wao wanasema hayo yalikuwa masuala ya Ilani ya Sisiemu awamu ya 5. Ila sasa wao wako awamu ya 6.

Unadhani kwa nini tangu mapema mwaka 2021, umma wa Watanzania ulilazimishwa kuamini kwamba sasa tuko kituo kinachofuata -- awamu ya 6???

Sijui unanielewa?

Maana yake, kama awamu 5 haikuteketeza ilani yao, wao yanawahusu nini?

Ndiyo maana miradi ya awamu 5 iliponea chupuchupu kupigwa chini, ni vile tu yule meneja wa kampuni alijua kuisogeza juu haraka mno kiasi ambacho kuishusha chini tena ingekuwa soo na robo kwa hawa.

Anyways, ngoja tuvute subra.
 
Acha ushamba wewe, flyover ya nini wakati bibi yako huko kijijini kwenu bado anapita kwenye barabara ya vumbi, macho yanakuwa mekundu kwa moshi wa kuni na hana maji safi ya bomba nyumbani.
 
Kwahy ulitaka tuseme samia anamalizia awamu ya tano.? Hakuna kitu kinachoitwa kumalizia muhula, muhula n rais, kila rais na muhula wake na sio vinginevyo.
 
Acha ushamba wewe, flyover ya nini wakati bibi yako huko kijijini kwenu bado anapita kwenye barabara ya vumbi, macho yanakuwa mekundu kwa moshi wa kuni na hana maji safi ya bomba nyumbani.
Ndiyo ilani ya CCM inasema hivyo?
 
Huyo aliyewaambia fly over ndo maendeleo aliwajaza ujinga, hujaona alivo uprage majengo ya shule ambayo yalikua kama mabanda ya kuku, raisi samia kafanya mengi tu
Elewa swali mjinga wewe.

Ilani ya CCM inasemaje?
 
Acha ushamba wewe, flyover ya nini wakati bibi yako huko kijijini kwenu bado anapita kwenye barabara ya vumbi, macho yanakuwa mekundu kwa moshi wa kuni na hana maji safi ya bomba nyumbani.

Kwani maV Eighy hayarushi vumbi ..... anapopita huko vijijini ....!!?
 
Back
Top Bottom