Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mara nyingi hata watu wazuri walichafuka kwaajili ya kujishikamana na watu wenye matendo machafu. Kuna misemo na mausia mengi kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka kwenye jamii juu ya wale...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kama ilivyo kawaida kwa shughuli...
3 Reactions
76 Replies
3K Views
Nikikumbuka tulikotoka, ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja, nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni. Watanzania tuna mengi ya kuridhika...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Festo Dugange amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari Habari za...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE...
0 Reactions
1 Replies
456 Views
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho. Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa...
7 Reactions
13 Replies
950 Views
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba Amesema ingawa Rais Samia alipokea Nchi ikiwa kwenye Hali ngumu ya kiuchumi kutokana na Changamoto za Kidunia sanjali na tukio lisirotarajiwa la kifo Cha Rais...
8 Reactions
132 Replies
6K Views
Wananchi wa Loliondo wamesalitiwa tena. Kwa kipindi hiki ni mbunge wao Saning'o Ole Telele na Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka. Kuna tetesi kuwa Sendeka alisafirishwa kutoka Arusha kwa gari ya...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kwa miaka zaidi ya kumi chama cha mapinduzi kimewekeza kutengeneza watu tegemezi na wasio na sifa za uongozi. Kimewatengeneza akina Makonda, Kihongosi, heri James, Sabaya, Jery na akina Mange ...
7 Reactions
12 Replies
896 Views
BANDARI YATEKELEZA KWA KISHINDO MAAGIZO YA MAMA SAMIA Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), chini ya Uongozi wa Mkurugenzi Mkuu wake, Bwana Plasduce Mkeli Mbossa imefanikiwa kutekeleza...
0 Reactions
5 Replies
617 Views
Kumezuka tabia mbaya ya kutumia Fedha za Umma eti kusaidia watu waliokumbwa na Mafuriko ya kile kinaitwa mvua za El Nino. Jambo hili amelieleza Vizuri RC Makonda alipotembelea wahanga huko Arusha...
1 Reactions
8 Replies
762 Views
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi...
1 Reactions
3 Replies
697 Views
Ndugu zangu Watanzania, Msione Lema ameanza kuweweseka na kupiga mayowe mitandaoni kabla hata Mwamba Mwenyewe Makonda hajaapishwa na kwenda kutua katika ardhi ya Arusha na kitovu cha utalii...
4 Reactions
129 Replies
7K Views
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI SHEREHE ZA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO ZANZIBAR Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Aprili...
0 Reactions
6 Replies
853 Views
Wananchi katika Mkoa Wa Arusha wameeleza kuridhishwa na kazi inayoendelea kufanya na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Nchini hususani katika kuwaleta wananchi pamoja na utekelezaji Mbalimbali Wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa...
18 Reactions
224 Replies
17K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya mwanahabari Odemba na Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo ameeleza mambo mengi sana kuhusu mbunge huyo wa zamani wa Arusha...
8 Reactions
149 Replies
12K Views
Salaam, Shalom!! Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake. KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani...
7 Reactions
138 Replies
8K Views
Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…