Je, tunataka kucheka sana au kujenga nchi yetu?

Shaadya Salum

Member
Joined
Jan 24, 2024
Posts
16
Reaction score
7
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.

Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa wanarekodi kichekesho kwa ajili ya kusambaza mitandaoni.

Nawaza; je, watanzania wamepatwa nini mpaka soko la kutaka kuchekeshwa limeongezeka. Je, stress zimeongezeka? Watu hawataki tena mambo serious? Tunatoana kwenye mambo ya maana? Mpaka mtu mmoja anauliza kwani Tanzania ni channel ya vichekesho kwenye king'amuzi cha dunia?

Hii ikanifanya nianze kuangalia pia kwenye mitandao ya kijamii vitu vyenye ushabiki mkubwa ni vile visivyo na maana sana. Mambo mengi ya msingi hayatiliwi maanani tena. Ukiweza kuchekesha au ukavujisha video wewe unakuwa ni "mtu wa maana sana" kwa msemo wa sasa mjini.

Juzi siku ya Eid nilipata nafasi ya kumsikia Gwajima mbunge wa Kawe akitoa somo kwa wananchi kuhusu sekta tano ambazo zinaweza kutuinua kama taifa.

Gwajima anasema kilimo, uvuvi na ufugaji zikiwa ni sekta tatu kubwa zinaweza kuajiri mtu wa aina yeyote, kiwango chochote cha elimu na akafanikiwa. Gwajima anasema ni rahisi kwa nchi yetu kuwa "bakuli la chakula" kwa nchi za Afrika na ulimwenguni kote. Kwa aina ya nchi yetu ambayo ina mito na maziwa na bahari, nchi ikilimwa ya kutosha basi chakula hakitakuwa shida tena kwa watanzania.

Gwajima akaongeza kuwa mtu akishiba hata kuwaza kwake kunaweza kubadilika. Gwajima anasema kuna mashamba mengi yako pembezoni mwa maziwa na mito ambayo hayahitaji kabisa bajeti kubwa kuyalima. Kwenye hotuba yake Gwajima ameshusha takwimu za nchi kuvuna "maokoto" ya kutosha kutoka kwenye sekta ya kilimo huku akisisitiza mpango uwe wa MUDA MREFU.

Gwajima anasema mito na maziwa na bahari yetu pendwa sio sehemu tu kucheza wakati wa sikukuu ufukweni. Kuna samaki ambao uvunwaji wao ungelisogeza sana taifa. Gwajima aliwashauri wananchi kuchangamkia vizimba vya ufugaji katika maeneo yaliyoainishwa na serikali.

Akishusha desa kuhusu ufugaji Gwajima anasema wafugaji bado hawajatosha kwenye nchi hii iliyojaa nyika na mapori. Kama mifugo ingekuwa inatosha basi viwanda vya kusindika nyama na maziwa na ngozi vingekuwa vingi sana. Gwajima anasema hapo ni vyema sana uwezeshaji uwe mkubwa sana kuhakikisha sekta hii inatema mpunga wa kutosha kwenye mapato ya nchi kuliko ilivyo sasa.

Nikawaza haya madini sasa mbona ni ya muhimu kuliko goal la Yanga ambalo linaangaliwa kila saa kama mtu kabandika maharage. Gwajima aombwe ashushe haya madini hata kwenye interview na media inayojielewa ambayo sio mali ya ukoo kusudi wengi hasa vijana wapate.

Tucheke lakini ukishavunjika mbavu kwa vichekesho akili yako iwaze Tanzania inaendaje na wewe Mtanzania unaendaje.

Nitarudi baadaye nimalizie yale niliyoyasikia yanayohusu mlima wa chuma na makaa ya mawe, mambo ya utalii na madini ya kutosha. Nikawaza wazalendo bado wapo na wenye kuipenda nchi bado wapo. #ChekaUkiwazaMaendeleo

Mkufya Majiponda
Uswege, Tanzania
 
Umetumwa na gwajima au kwani nani hajui ayo alosema gwajima? Mbona yeye kakimbilia unabii na ubunge hakukiona kilimo?
 
Rasilimali za nchi hii sio mali ya wananchi bali ni mali ya viongozi waliopo madarakani, kinachosikitisha zaidi ukitaka kila mtanzania anufaike na hizo rasilimali basi utaitwa dikteta, makabila and likes
 
Mh.Gwajima ni mtu mwongo (kwangu mtu mwongo anapoteza respect yangu),mh.Gwajima ni tapeli mkubwa anayetumia upumbavu na ujinga wa watanzania kujinufaisha,ubunge wake haukupatikana kihalali kama kweli angekua ni man of GOD asingeukubali,greedness yake ndio imempeleka huko bungeni
 
Ukosefu wa ajira na mitaji umesababisha vijana tuingie katika uchumi vichekesho, boda boda, na wanawake nao wanaingia kwenye uchumi wa kuuza papuchi.
 
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.

Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa wanarekodi kichekesho kwa ajili ya kusambaza mitandaoni.

Nawaza; je, watanzania wamepatwa nini mpaka soko la kutaka kuchekeshwa limeongezeka. Je, stress zimeongezeka? Watu hawataki tena mambo serious? Tunatoana kwenye mambo ya maana? Mpaka mtu mmoja anauliza kwani Tanzania ni channel ya vichekesho kwenye king'amuzi cha dunia?

Hii ikanifanya nianze kuangalia pia kwenye mitandao ya kijamii vitu vyenye ushabiki mkubwa ni vile visivyo na maana sana. Mambo mengi ya msingi hayatiliwi maanani tena. Ukiweza kuchekesha au ukavujisha video wewe unakuwa ni "mtu wa maana sana" kwa msemo wa sasa mjini.

Juzi siku ya Eid nilipata nafasi ya kumsikia Gwajima mbunge wa Kawe akitoa somo kwa wananchi kuhusu sekta tano ambazo zinaweza kutuinua kama taifa.

Gwajima anasema kilimo, uvuvi na ufugaji zikiwa ni sekta tatu kubwa zinaweza kuajiri mtu wa aina yeyote, kiwango chochote cha elimu na akafanikiwa. Gwajima anasema ni rahisi kwa nchi yetu kuwa "bakuli la chakula" kwa nchi za Afrika na ulimwenguni kote. Kwa aina ya nchi yetu ambayo ina mito na maziwa na bahari, nchi ikilimwa ya kutosha basi chakula hakitakuwa shida tena kwa watanzania.

Gwajima akaongeza kuwa mtu akishiba hata kuwaza kwake kunaweza kubadilika. Gwajima anasema kuna mashamba mengi yako pembezoni mwa maziwa na mito ambayo hayahitaji kabisa bajeti kubwa kuyalima. Kwenye hotuba yake Gwajima ameshusha takwimu za nchi kuvuna "maokoto" ya kutosha kutoka kwenye sekta ya kilimo huku akisisitiza mpango uwe wa MUDA MREFU.

Gwajima anasema mito na maziwa na bahari yetu pendwa sio sehemu tu kucheza wakati wa sikukuu ufukweni. Kuna samaki ambao uvunwaji wao ungelisogeza sana taifa. Gwajima aliwashauri wananchi kuchangamkia vizimba vya ufugaji katika maeneo yaliyoainishwa na serikali.

Akishusha desa kuhusu ufugaji Gwajima anasema wafugaji bado hawajatosha kwenye nchi hii iliyojaa nyika na mapori. Kama mifugo ingekuwa inatosha basi viwanda vya kusindika nyama na maziwa na ngozi vingekuwa vingi sana. Gwajima anasema hapo ni vyema sana uwezeshaji uwe mkubwa sana kuhakikisha sekta hii inatema mpunga wa kutosha kwenye mapato ya nchi kuliko ilivyo sasa.

Nikawaza haya madini sasa mbona ni ya muhimu kuliko goal la Yanga ambalo linaangaliwa kila saa kama mtu kabandika maharage. Gwajima aombwe ashushe haya madini hata kwenye interview na media inayojielewa ambayo sio mali ya ukoo kusudi wengi hasa vijana wapate.

Tucheke lakini ukishavunjika mbavu kwa vichekesho akili yako iwaze Tanzania inaendaje na wewe Mtanzania unaendaje.

Nitarudi baadaye nimalizie yale niliyoyasikia yanayohusu mlima wa chuma na makaa ya mawe, mambo ya utalii na madini ya kutosha. Nikawaza wazalendo bado wapo na wenye kuipenda nchi bado wapo. #ChekaUkiwazaMaendeleo

Mkufya Majiponda
Uswege, Tanzania
Sasa bro hiki ulichoandika hapa ni komedi tupu,ulisubili gwajima akusimulie nchi inavyoweza kutajirika kwa kilimo? Oh kwamba tuna ardhi kubwa, mito na maziwa, ukienda kulima fastaaa tu ukwasi uleeee!
Serious bro, Inge kuwa rahisi hivyo, wale vijana wa fan ya biashara ya nyanya mkimaliza kitonga wangekuwa kama bkheresa!
Watu wanalima sana, kwsni hukumbuki jinsi msjambazi ya ccm yalivyokwapua pesa za mfuko wa korosho kusini, ?
 
Kwa hiyo wewe haujacheka?
 
Hapa ndio mnazidi kutuchanganya ile Treni Yeye ameshanunua?

Bora vichekesho kuliko uongo na unafiki wa gwajima
 
Bado unamsikiliza Gwajima?
 
Mh.Gwajima ni mtu mwongo (kwangu mtu mwongo anapoteza respect yangu),mh.Gwajima ni tapeli mkubwa anayetumia upumbavu na ujinga wa watanzania kujinufaisha,ubunge wake haukupatikana kihalali kama kweli angekua ni man of GOD asingeukubali,greedness yake ndio imempeleka huko bungeni
Ukimwita mtu muongo inabidi uwe na ushahidi wa huo uongo sasa sijui ww huo ushahidi unao au umeandika tu ili na ww uonekane umecomment?
 
Hapa ndio mnazidi kutuchanganya ile Treni Yeye ameshanunua?

Bora vichekesho kuliko uongo na unafiki wa gwajima
Ulitaka akinunua akuletee risiti au ailete kwako hiyo treni?
Usicomment tu uonekane na wewe umecomment embu jaribu kuweka hoja yenye mashiko ueleweke
 
Sasa bro hiki ulichoandika hapa ni komedi tupu,ulisubili gwajima akusimulie nchi inavyoweza kutajirika kwa kilimo? Oh kwamba tuna ardhi kubwa, mito na maziwa, ukienda kulima fastaaa tu ukwasi uleeee!
Serious bro, Inge kuwa rahisi hivyo, wale vijana wa fan ya biashara ya nyanya mkimaliza kitonga wangekuwa kama bkheresa!
Watu wanalima sana, kwsni hukumbuki jinsi msjambazi ya ccm yalivyokwapua pesa za mfuko wa korosho kusini, ?
Unaweza ukalima ila ukawahuna akili ya kilimo ulitaka tu na wewe uonekana umelima hapo huwezi kutoka kimaisha kabisa
 
Ukosefu wa ajira na mitaji umesababisha vijana tuingie katika uchumi vichekesho, boda boda, na wanawake nao wanaingia kwenye uchumi wa kuuza papuchi.
Ajira na mitaji unavyo mwenyewe kwenye akili yako hakuna mtu anaweza kukupa ajira wala mtaji shughulisha akili yako
 
Mimi mwenyewe nngekua nakacheo uko serikalini ningeongea na mama aangalie namna ya kutuwezesha sisi wananchi kwenye mambo ya maana kabisa,
Gwajimaa yeye kaona vizuri
 
Ulitaka akinunua akuletee risiti au ailete kwako hiyo treni?
Usicomment tu uonekane na wewe umecomment embu jaribu kuweka hoja yenye mashiko ueleweke
Umeandika ujinga......aniletee risti? Kwani aliposema ananua treni alikwambia ataniletea risti?
 
Kama wewe umeona hicho ni kichekesho unaweza ukacheka ila wengine wameona ni fursa kwao hawawezi kucheka
Mkuu angalia uzi wote wachangiaji wanakucheka na kukushangaaa......bado unashupaza shingo ukidhani umeandika kitu cha maana.
 
Ukimwita mtu muongo inabidi uwe na ushahidi wa huo uongo sasa sijui ww huo ushahidi unao au umeandika tu ili na ww uonekane umecomment?
Aliahidi kwenye kampeni zake za ubunge (ubunge aliopewa in a golden plate)kuwa atawapeleka vijana ughaibuni ili wakajaribu maisha,alitamka uhusiano wa kibiashara na moja ya successfully city in the world,hakuna hata moja alilotimiza na halafu anajiita ni man of GOD!huyu ni tapeli na mwongo mkubwa anayechukulia watu for the ride maana upumbavu ni mwingi kwa wafuasi wake
 
Back
Top Bottom