Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,551
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
 
Na makucha yake.

Kinana na Nape walikuwa wakiongozana.

Saizi Kila mtu na notebook yake kivyake.
Tatizo viongozi hawajui mipaka ya majukumu yao

CCM ilipoasisiwa ilikuwa na Katibu Mtendaji baadae wakabadili na kuwa na Katibu Mkuu

Nape alilielewa hili LAKINI Polepole alikuja na Utaratibu wake na nadhani ndio unaendelezwa hadi sasa

Kwa sasa Katibu wa Fedha na yule wa Mahusiano ya Kimataifa Wamefunikwa kabisa na hawajulikani Hata Majina yao tu 😄
 
Sasa tutafanyeje Ili chama kisimfie mkt?
 
Vikao vya ndani ni muhimu, watoke na msimamo mmoja .. namna ya kuwasilisha sera na usikilizaji, utendaji

viongozi wa Juu ndiyo Dira yetu kukiwepo na kutokuwa na kauli mmoja uleta makundi na sintofahamu hasa kwa kipindi hiki muhimu kupelekea 2025
ili lengo litimie CCM ibaki kuwa chama tawala .

#Vikao_vya_Ndani_Muhimu
 
Nani sasa awafikishie taarifa?

KM amesema wazi kabisa akiwa Zanzibar kuwa Yeye ni mtu wa misimamo, ikiwa chama hakipendi misimamo yake, wamfukuze haraka.

Mwenezi naye aliapa chato kaburini kuwa hawezi msaliti JPM, Yuko radhi apigwe Risasi kuliko kumsaliti.

Sasa hapo itakuwaje?

Wazazi wanaweza kukalishwa kikao na watoto ,suluhu ikapatikana?

Cc: Pascal Mayalla
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Inaeleweka vizuri, Makonda ni team Magufuli, Nchimbi ni team Lowassa sasa kajificha kizimkazi. Hawawezi kuelewana.
 
Nani sasa awafikishie taarifa?

KM amesema wazi kabisa akiwa Zanzibar kuwa Yeye ni mtu wa misimamo, ikiwa chama hakipendi misimamo yake, wamfukuze haraka.

Mwenezi naye aliapa chato kaburini kuwa hawezi msaliti JPM, Yuko radhi apigwe Risasi kuliko kumsaliti.

Sasa hapo itakuwaje?

Wazazi wanaweza kukalishwa kikao na watoto ,suluhu ikapatikana?

Cc: Pascal Mayalla
Cc Lucas mwashambwa
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Anayeeleweka zaidi ni yule anayewasemea wananchi zidi ya uonevu toka kwa viongozi miungu watu. Dkt Nchimbi hatofanikiwa kabisa kumshusha Makonda, kitakachotokea ni kuwa Dkt Nchimbi anajimaliza kisiasa. Yaani iko hivi, wakuda wamekaa wakapiga mahesabu hivi huyu anayejifanya kuijua CCM tunammalizaje??? Mpe ukatibu mkuu, kwa sababu anamawazo ya kizamani, muache ajianike ili umma wa watanzania wajue ni wa aina gani then ikija 2025 hakuna mwingine zaidi ya Dkt Samia
 
Upinzani huo wa wazi wa viongozi wakubwa ndani ya chama unamnufaishaje mkt Moja Kwa moja bila athari?

Fafanua tafadhali🙏
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni
Wacha watifuane tu
 
Back
Top Bottom