Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,384
- 5,330
Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe amesema serikali ya Rais Samia imeamua kumtoa kafara aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na kuwaacha wahalifu wengine ikiwemo waliompiga risasi Lissu wakidunda serikalini bila kukamatwa.
Mbowe amesema kitendo cha Rais Samia kukataa kukutana na viongozi wa CHADEMA kwa miezi minne sasa ni cha kinyama na hawawezi kuvumilia hivyo kuanzia sasa hatampigia magoti tena kumuomba wakutane naye bali watakutana barabarani.