Je, Mwanaharakati huru Musiba ni role model wa vijana wa CHADEMA?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,256
22,322
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona vijana wa Mbowe nao wakitukana na kumdhalilisha yeyote yule wanayeona ni kikwazo kwa Mbowe. Mbaya zaidi baadhi yao wamekuwa wakinukuu habari zilizowahi kuandikwa na magazeti ya mwanaharakati huru ili kutimiza malengo yao ya kutukana (refer vita ya Mange na MMM). Hata kwenye uzi wangu uliohusu Nabii feki Lema kujibiwa vibaya na mmoja wa vijana wa Mbowe kuna mwanachama wa CHADEMA alijitokeza kwenye comments na kudai anaona ni sawa kwa sababu hata Musiba alikuwa akitukana.

Ni wakati sahihi wa vijana wa CHADEMA kutafuta role model mpya ambaye hujenga hoja nzito kuliko kuendelea kuiga alichokuwa akifanya Musiba kwenye utawala uliopita. Nadhani hata komredi Lucas Mwashambwa anafaa kuwa role model mzuri kwenu kwenye kujenga hoja na sio matusi. Mwisho ninamtupia lawama mwanaharakati huru Musiba kwa alichokifanya wakati wa awamu ya 5 kiasi cha kufanya maelfu ya vijana wa CHADEMA nao kuiga alichokuwa akifanya. Yaani kwa sasa kila uzi ulio na hoja tofauti na wanayopenda kusikia lazima ukute comments zao za matusi.
 
Msiba mwenyewe anasemaje?
 
Mkuu, sijui hata wewe mwenyewe kama ukirudia kusoma kile ulichokiandika kama utakielewa!? Kichwa cha habari, mtiririko wa hoja, na hata hitimisho vimefarakana kama matokeo ya mechi za hivi karibuni za Makolo, a.k.a S.C
 
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona vijana wa Mbowe nao wakitukana na kumdhalilisha yeyote yule wanayeona ni kikwazo kwa Mbowe. Mbaya zaidi baadhi yao wamekuwa wakinukuu habari zilizowahi kuandikwa na magazeti ya mwanaharakati huru ili kutimiza malengo yao ya kutukana (refer vita ya Mange na MMM). Hata kwenye uzi wangu uliohusu Nabii feki Lema kujibiwa vibaya na mmoja wa vijana wa Mbowe kuna mwanachama wa CHADEMA alijitokeza kwenye comments na kudai anaona ni sawa kwa sababu hata Musiba alikuwa akitukana.

Ni wakati sahihi wa vijana wa CHADEMA kutafuta role model mpya ambaye hujenga hoja nzito kuliko kuendelea kuiga alichokuwa akifanya Musiba kwenye utawala uliopita. Nadhani hata komredi Lucas Mwashambwa anafaa kuwa role model mzuri kwenu kwenye kujenga hoja na sio matusi. Mwisho ninamtupia lawama mwanaharakati huru Musiba kwa alichokifanya wakati wa awamu ya 5 kiasi cha kufanya maelfu ya vijana wa CHADEMA nao kuiga alichokuwa akifanya. Yaani kwa sasa kila uzi ulio na hoja tofauti na wanayopenda kusikia lazima ukute comments zao za matusi.
Nchi ngum sana na wengine ni wagum sana jf , hizi tabia msipo acha ipo siku mtahamishiwa Burundi kwa lazima mda mwalim
 
Huyo si alikuwa mwanaharakati wenu. Mnataka ahamie CDM tena?
 
Umekunywa chai Leo?
 
Mbona umeandika Ushuzi? Hebu rudia kusoma uchafu ulioandika ambao hata wewe hutauelewa
 
Great thinkers wameadimika sana hapa JF.

Mada za kijinga na kitoto kama hizi zilikuwa haziandikwi hapa JF
 
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona vijana wa Mbowe nao wakitukana na kumdhalilisha yeyote yule wanayeona ni kikwazo kwa Mbowe. Mbaya zaidi baadhi yao wamekuwa wakinukuu habari zilizowahi kuandikwa na magazeti ya mwanaharakati huru ili kutimiza malengo yao ya kutukana (refer vita ya Mange na MMM). Hata kwenye uzi wangu uliohusu Nabii feki Lema kujibiwa vibaya na mmoja wa vijana wa Mbowe kuna mwanachama wa CHADEMA alijitokeza kwenye comments na kudai anaona ni sawa kwa sababu hata Musiba alikuwa akitukana.

Ni wakati sahihi wa vijana wa CHADEMA kutafuta role model mpya ambaye hujenga hoja nzito kuliko kuendelea kuiga alichokuwa akifanya Musiba kwenye utawala uliopita. Nadhani hata komredi Lucas Mwashambwa anafaa kuwa role model mzuri kwenu kwenye kujenga hoja na sio matusi. Mwisho ninamtupia lawama mwanaharakati huru Musiba kwa alichokifanya wakati wa awamu ya 5 kiasi cha kufanya maelfu ya vijana wa CHADEMA nao kuiga alichokuwa akifanya. Yaani kwa sasa kila uzi ulio na hoja tofauti na wanayopenda kusikia lazima ukute comments zao za matusi.
Habari ya mjini kwa sasa mawaziri wanamtukana mama yenu!
 
Nilipenda sana msimamo wa Musiba kuhusu mafisadi. Anasema kwa kujiamini na haogopi, nakumbuka alivyomuandama Membe(RIP).
 
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona vijana wa Mbowe nao wakitukana na kumdhalilisha yeyote yule wanayeona ni kikwazo kwa Mbowe. Mbaya zaidi baadhi yao wamekuwa wakinukuu habari zilizowahi kuandikwa na magazeti ya mwanaharakati huru ili kutimiza malengo yao ya kutukana (refer vita ya Mange na MMM). Hata kwenye uzi wangu uliohusu Nabii feki Lema kujibiwa vibaya na mmoja wa vijana wa Mbowe kuna mwanachama wa CHADEMA alijitokeza kwenye comments na kudai anaona ni sawa kwa sababu hata Musiba alikuwa akitukana.

Ni wakati sahihi wa vijana wa CHADEMA kutafuta role model mpya ambaye hujenga hoja nzito kuliko kuendelea kuiga alichokuwa akifanya Musiba kwenye utawala uliopita. Nadhani hata komredi Lucas Mwashambwa anafaa kuwa role model mzuri kwenu kwenye kujenga hoja na sio matusi. Mwisho ninamtupia lawama mwanaharakati huru Musiba kwa alichokifanya wakati wa awamu ya 5 kiasi cha kufanya maelfu ya vijana wa CHADEMA nao kuiga alichokuwa akifanya. Yaani kwa sasa kila uzi ulio na hoja tofauti na wanayopenda kusikia lazima ukute comments zao za matusi.
Ushavimbiwa cha mchana unakuja kumwaga ushuzi wako jf
 
Back
Top Bottom