Walimu kupinga kauli za Udhalilishaji na ubaguzi kutoka kwa CHADEMA dhidi yao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Luca,have you inherited the stupidity of your fake holy ghosts?Unahitaji upako aisee!Siwezi kukutetea tena.
 
Kama ni kweli walimu wataamua kuandamana kwa hili na kuyaacha mengine yote yanayowasibu, Basi kutakua na haja ya kupima afya ya akili ya kila mwalimu nzima.

NB: waandamane kwanza kupinga unyonyaji wanaofanyiwa na CWT ili tupime upepo wao.
Wasiandamane kupewa house allowance au transport allowance waandamane kisa uchaguzi WA kila baada ya miaka mitano?

Naona mleta mada njaa imefika makalioni, aombe radhi haraka sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari na mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kuna muda nahisi tunaishi karne ya 18 huko
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
CCM kwa kuwa tumia wakati wa Uchaguzi ili mshinde, alafu mmetuletea kikokotoooo

Unasema tuandamane kisa lisu lisu mliyetaka kumuua ccm na serkali yenu mungu akasema no?

Tundu antipass Lissu ni sababu ya anguko la ccm lazima a wapelekwe shimoni
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale waoangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa akina watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote iliyokuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu hali itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo na tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kilipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo chaka ambacho hakina ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake ,kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mlichukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Nilichogundua mpaka sasa kutoka kwako; wewe ni kiumbe unaye ipenda sana kazi ya usemaji! Ila kwa bahati mbaya hiyo kazi yenyewe haikupendi.

Na sababu kubwa ya kutopendwa na kazi ya usemaji, ni tabia yako ya kupenda sana kuongeza chumvi na kukuza mambo kwenye kila kitu unachotaka kukielezea.
 
Back
Top Bottom