Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu wetu.
Bidhaa zinazozalishwa nje ya nchi na ndani zipo ziwekewe kodi kupunguza mwanya wa wanasiasa kuingiza bidhaa zao, hii inaua viwanda vya ndani na hakuna wakulisemea hili.
Bidhaa zinazozalishwa nje ya nchi na ndani zipo ziwekewe kodi kupunguza mwanya wa wanasiasa kuingiza bidhaa zao, hii inaua viwanda vya ndani na hakuna wakulisemea hili.