NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,055
- 18,699
Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"!
Wazee wetu walioushuhudia muungano Kila kukicha wanatangulia na wao wameona Kuna tatizo kuu la huo muungano wenyewe kwetu Sasa na kizazi kijacho!
Chama changu ccm kimefumba macho, hakisikilizi hata wazee wetu kina warioba walifanya tatfiti zao na kuona Muungano utatuliwe kikatiba lakini kwa upofu wa kesho ya madaraka tunaendelea kufumba macho mambo yabaki yalivyo hasa wale conservative was chama ndio wanaturudisha nyuma!
Je kizazi kijacho kitakubali eti mzanzibari awe na serikali na mtanganyika asiwe nayo? eti mzanzibari awe na haki mbili na mtanganyika Hana haki yoyote, wajukuu zetu watatuelewa? vitukuu na vilembwe vitaelewa? CCM chama changu tutafunika kombe hadi lini?tutakumbatia matatizo Hadi lini?
Je mmeridhika na muungano unaokula pande mmoja na kummliza mwingine?
Kwanini hamtaki kujadili haha hadharani yakafanyiwa kazi?
Kama tumeamua kuungana basi tuwe na serikali Moja tu kama Zanzibar ina serikali basi Tanganyika ya kwao Iko wapi?
Kama Zanzibar ina serikali Mimi naitaka Tanganyika yangu, kama mnataka muungano basi uwepo was serikali Moja kuliko huu wa kinyonyaji!
Nimeandika yangu fanyieni kazi,
Mawazo huru ya mlipa kodi na mawazo hayapigwi rungu!!
Tujitafakari!