Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule!
Just simply case!
Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje...
Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi...
Dakika tatu za MNYIKA Kimara, Technical Knockout (TKO)..
Leo nimejikuta nakumbuka pambano la ngumi uzito wa juu ambalo tulipewa hadithi nyingi na kulazwa alfajiri Kati ya ya Mike 'iron' Tyson na...
Dar es Salaam. Unaweza kusema hafla ya uwekaji jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam umewakutanisha wanachama wa CCM na Chadema.
Wanachama hao wakiwa wamevalia...
Hili nimeona niwashirikishe hasa baada ya kuona yale mambo matano yaliyoletwa mbele ya mkuu wa nchi na Mbunge wenu makini Mh Mnyika yakianza kutatuliwa kwa hati ya dharula
Nimepekuwa tena ile...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka amewataka watumishi wa serikali kuachana na kulalamikia kikokotoo wakati umri wao wa kustaafu bado haujakaribia, na wajikite katika kufanya kazi kwa bidii...
Magufuli aliamini mapambano dhidi ya rushwa ni kuunda mahakama maalum. Lakini alisahau kwamba wala rushwa na watoa rushwa ni watawala na siyo wananchi. Wakati anatawala watawala waliokuwa...
Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza...
Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na...
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa.
Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
Mwalimu, kwa viwango na kipimo chochote kile, alikuwa kiongozi mwenye upeo na uelewa mkubwa kuliko Rais yeyote aliyefuata baada yake. Alifanya mambo makubwa sana kwa kuzingatia wakati wake.
Kosa...
Zama za Zitto Kabwe zimefika ukomo
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Uongozi wake hautafuata mambo ya mstaafu Zitto Kabwe bali atatumia utaratibu na mifumo yake katika kukivusha...
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
Wazaliwa wa Zanzibar wanapenda sana kujiita wazanzibari ila Wazaliwa wa Tanganyika wanakatazwa na wazazinzibar kutukuza Utanganyika.
Marais wote wamekuwa wakijiita watanzania isipokuwa awamu hii...
Benki ya Dunia imesema itapotia upya masharti ambayo yalikuwa yanawanyika wakandarasi wa ndani kupata fursa ya kazi na kupendelewa wageni kwenye miradi ya Fedha za Mkopo kutoka Benki hiyo...
Rais Samia ameamua Kuwabeba Wakandarasi wazawa mabegani mwake Ili kuwafanya matajiri ambao watakuwa injinia ya uchumi Nchini.
Hayo yamebainishwa na Waziri Bashungwa wakati wa kikao cha...
Leo tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali katika ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.