Moyo wangu unajisukuma kuandika haya, kwa kuwa naona kesho.
Ndani ya muda mchache kuanzia sasa Baraza kuu la waislam wa BAKWATA litatoa tamko kuwa ni sahihi kwa walinzi wa Rais kuingia na...
- Yakataa kupokea baadhi ya vielelezo vilivyotakiwa kujumuishwa nje ya utaratibu
- Katika kesi baina yao na CRC inayotetewa na wakili Mwalongo
- Ni mfululizo wa kesi za mikopo chechefu...
Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024 amesema zama zimebadilika na utoaji Taarifa umehamia zaidi Mitandaoni kama inavyofanyika kupitia JamiiForums.
JF ipo...
Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za demokrasia. Rais Samia ameonyesha nia ya kuimarisha mazingira ambayo vyombo vya habari vinaweza...
Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida.
Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa...
Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa...
Hizi kamati za bunge ambazo zimekuwa zikiita na kuhoji watu kama CAG Assad, Pascal Mayalla , Mpina na wengine wengi ni vyema sasa zikawa zinarusha live mahojiano hayo kama ambavyo inafanyika...
Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu.
(1) Sukari tunayouziwa...
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo.
UPDATES...
Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku.
Hali iyo...
June 4,2024 Wakati Spika Dr Tulia anampa Mbunge wa Kisesa siku 10 kuleta Ushahidi wa Waziri Bashe kulidanganya bunge alisema " naomba ieleweke Siyo kwamba namuweka mh Mpina kwenye kona"
Hii kauli...
Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji.
Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati...
Jumikita kwa wale msiyojua kirefu chake ni Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii, wanawakilisha wanahabari wote wa mtandaoni nchini. Rais Samia anawasifia na kuwaambia mwende mkachuje...
Kutoka,
Sembeti, Marangu.
Kazi ya Ukamilishaji wa ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vya Samanga na Sembeti uliosimama kwa takribani miaka 20 inaendelea baada ya kupata fedha toka mfuko wa...
We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi...
Ushahidi aliotoa Luhaga Mpina ni mzito sana tena umejaa reference nyingi tu.
Nilitegemea wanahabari wajuze umma kama jinsi ambavyo Luhaga kaelezea,lakini kuna nguvu kubwa inatumika kulizima jambo...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WALIOCHUKULIWA NA POLISI MAHAKAMANI JANA WAMETOLEWA LEO 5/6/24, ALASIRI KWA DHAMANA.
(HAWAKUELEZWA DHAMANA YA TUHUMA GANI, MAANA WAMESHINDA KESI NA KUACHIWA...
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
Wanabodi,
Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu.
Angalizo kuhusu paraphrasing.
Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini serikali inapojaribu kusimamia mabadiliko na nidhamu katika utumishi wa umma inajigongelea misumari yenyewe. Ninavyoona ni sawa na fundi seremala mashuhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.