Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina hakika na Jina la Operesheni lakini nakumbuka mawaziri waliotumbuliwa ni pamoja na Dr Nchimbi na Dr David Mathayo huku Kamati Teule ya bunge ikiongozwa na mh Lembeli JK na Makinda walitisha...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa...
1 Reactions
13 Replies
932 Views
Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na...
3 Reactions
2 Replies
493 Views
Kwema Wakuu! Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo Kwa sababu...
8 Reactions
104 Replies
3K Views
Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumeshuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si...
114 Reactions
511 Replies
34K Views
Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu Heshima mbele kwanza. Msikilize hapa mbunge wa makambako Deo sanga👇 Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema kuwa wanamekuwa wakimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu yeye ndiye...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera. Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake. Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC. Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo. Je, rasi, unaona...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi mitandaoni. Ikumbukwe kwamba Tangu kuchaguliwa kwake hii ndio mara ya kwanza kuongea na Wananchi, Je atafumua kitu gani na atakuja na Mikakati gani ya...
2 Reactions
16 Replies
476 Views
Later today in Nairobi, we will be launching the construction of Twin Towers (22 floors each) buildings, a real estate investment by NSSF and Tanzania’s Ministry of Foreign Affairs in Upper Hill...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua...
6 Reactions
83 Replies
4K Views
Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwepo kwenye utumishi wa umma huu mwaka 4 sasa katika halmashauri moja huku mkoani Morogoro.Tangu nilipofika katika halmashauri hii 2020 nilimkuta mkurugenzi ambaye tayari alikuwepo hapa...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
katika wasilisho lako la leo Mh. Spika ulikuwa na nafasi ya kumuadabisha Mpina moja kwa moja lakini kwa kuzingatia utawala bora bado umeruhusu kamati zipitie hoja zake, na hoja ya utovu wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6. Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
# Katika uchaguzi wa 2024-2025, tunawasihi vijana wetu kufanya maamuzi yao kwa hekima na utambuzi mkubwa. Ingawa kuna vishawishi vya fedha na zawadi kama pikipiki, hatupi kibali kwa wale...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kulingana na data zilizopo hata mtandaoni, shillingi yetu imeshuka kwa kiwango cha kutisha. REKODI ZIPO HIVI: Mwaka 2020. 1 Dollar -Tshs 2,314.8 Mwaka 2021. 1Dollar -Tshs 2,314.3 Mwaka...
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mh Godbless Lema alipoongea na waandishi wa habari . Ikumbukwe kwamba Kambi rasmi ya upinzani imeamua kuachana na kusoma...
31 Reactions
149 Replies
14K Views
Tangu kuanza kwa Bunge la Bajeti mwaka 2019/20 si jambo la ajabu kuona vitabu vya hotuba za wasemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu wizara mbalimbali karibu kila kurasa vikiwa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom