Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo Ni...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakenya wamechachamaa sana na Mswaada wa bajeti yao, wanaona hauna maslahi kwao, Pamoja na kufanyiwa mabadiliko bado wanachachamaa tu. Wakenya wako chonjo na Bajeti yao wanapitia kifungu kwa...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo)...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Viongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa, . 1. Eswatini, 2. Lesotho, 3. Uganda, 4. Namibia, 5. Angola, 6. Palestina, 7. Egypt, 8...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=HYDhEEFiiIE
1 Reactions
2 Replies
359 Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Musukuma Kasheku akichangia bajeti kuu amesema Tanzania tuone aibu, haiwezekani bidhaa za Uganda zinapita bandari ya Tanzania, halafu sisi tunazifuata huko "Leo hii sisi...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la...
2 Reactions
6 Replies
508 Views
Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea! "Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni...
1 Reactions
1 Replies
482 Views
Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Spika anasema kwa mujibu wa kanuni ni kuwa mbunge akimtuhumu mbunge mwingine ni lazima siku hiyo hiyo au nyingine awasilishe vielelezo vyake kwa spika na spika atapelekea kwa kamati ya maadili...
2 Reactions
9 Replies
520 Views
Vijana mlio siasani Leo huko mbele mjitahidi iwe mtu Mmoja kofia Moja kwa sababu mko Wengi Sana na nafasi za Utumishi ni chache Mno Hainaga haja ya Spika Kuwa Mbunge ilhali Hata CCM wenyewe...
0 Reactions
4 Replies
541 Views
Hawa wabunge na Mawaziri kiuhalisia hawakupaswa kuendelea kuishi hivi kisiasa. walipaswa kabisa wawe ni marehemu kwa huu uhuni wanaotufanyia. walipaswa kisiasa wawe maiti wao na kiongozi wao...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU MADALALI WA SUKARI TANZANIA Sugar Catels wamechachamaa, wanatumia kila mbinu ili wafanikiwe kubaki na 'monopoly right' ya kuamua bei ya sukari iweje nchini Maswali ya...
0 Reactions
14 Replies
857 Views
To protect poultry and onion farmers, the committee has proposed a review on the duty only on imported eggs, onions, and potatoes.
3 Reactions
17 Replies
665 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni miongoni mwa Watu Wazito waliofika nyumbani kwa Ras wa Kilimanjaro aliyefariki kwa ajali ya gari . Huyu hapa ---...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando. Mhando ameyasema hayo alipotoa...
9 Reactions
95 Replies
7K Views
Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale...
7 Reactions
59 Replies
18K Views
Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi...
2 Reactions
3 Replies
661 Views
Back
Top Bottom