Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.
Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.
Ikumbukwe mikataba...
Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi...
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya...
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.
Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza...
Watanzania tufunge na kusali huyu mama nawaambia miradi yote ikiish a iliyopo NI kudra ya mwenyezi mungu ! NI mama asiyejali na ameziba masikio watu wanaiba yeye ameziba masikio Tu! Tuseme kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na...
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi...
Hebu tuangalie halafu tusaidiane
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi...
1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi
(Wakurugenzi wa Halmashauri).
2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba...
Salaam Wakuu,
Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.
Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona...
Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa...
Na Bwanku M Bwanku.
Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu...
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali...
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa...
Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.