Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani.
Napenda kuwakumbusha tu...
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana...
Wahenga waliwahi kusema kuwa watu maskini wa fikra, mali na akili hujadili watu kwa mfano mzuri viongozi wa Chadema inadhihirisha kuwa ni watu wenye akili ndogo Sana utakuta mkutano una masaa 4...
Salaam, Shalom!
KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa.
Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi...
KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi...
Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa.
Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa...
SOURCE: www.raiamwema.co.tz
Mawaziri kushitakiwa kwa tuhuma za ufisadi
Mwandishi Wetu Machi 26, 2008
SERIKALI inakamilisha taratibu za kuwashitaki mawaziri wa zamani wawili wanaotuhumiwa...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Ratiba ya Chadema kukomboa Majimbo yake yaliyoporwa na Dikteta Mwenda zake inaendelea.
Sasa imeingia Arusha Mjini, ambako Taarifa zinaeleza kwamba shughuli...
31 May 2021
MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI.
Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani...
BASHE:Sikuwahi kuwa member wa hii forum lakini nimeguswa na kuvutiwa kutokana na mjadala ambao umemhusisha Mbunge wangu MH HAMIS ANDREA KIGWANGALA (SAIDI NASSOR BAGAILE) sikutaka kujadili jambo...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye, Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya kuwa wepesi wa kusaidia...
"Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye...
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete...
Habari wanajamvi,
Nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi...
SEKTA YA MAJI YABAINISHA DHAMIRA YA KUTUMIA MAJI YA ZIWA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI
Mpwimbe-Katavi
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali imeshatangaza tenda kwa ajili ya kumpata...
Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua.
Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji...
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?
Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba...
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno
Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.