Yester Night i wrote on the nincompoops of our youths from the above mentioned universities. The big problem is lacking technical know hows about some critical issues and analysis.
The fact that...
Natoa ushauri kwa Mamlaka ya Uteuzi kwamba, ipo haja ya dharula ya kumuondoa Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila baada ya Kushindwa kutumia Ushawishi kumaliza mgomo wa Wafanyabiasha wa Dar es Salaam na...
Wasalaam,
Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mh Dr Slaa amesema waliondoa Ukomo wa Uongozi kwenye Katiba Ili kuwatia Moyo Viongozi Wenye Ujasiri wa Kuongoza na kupambania Chama na Wananchi bila Uwoga
Dkt...
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika.
Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa...
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?
Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli...
Tutegeni masikio tusikilize!
---
Wananchi wa Mkoa wa Mara wamejitokeza kutoa malalamiko yako kuhusu shida ya maji katika Mkoa wao.
Wakazi hao wanadai maji yanayopatikana ni mabaya...
IGP Sirro kazi imemshinda au yuko compromised. Haiwezekani.
Miaka ya nyuma hatukuwahi kuzoea matukio ya utekaji kama tunavyoshuhudia kipindi hiki, hata kama yalikuwepo lkn yalikuwa ya kuhesabu...
Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo...
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo...
Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi...
Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM.
Yaani...
Maswali ya kujiuliza ni kuwa;
1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za...
Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo
Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo...
Wakati Watanzania Bara Wakiwa kwenye mjadala eti wa deni la Taifa kuongezeka na Serikali ikishutumiwa Kwa kile kinachoitwa kukopa sana,kwingineko Serikali za nchini Uganda na Zanzibar zenyewe...
WanaJF,
TRA kitengo cha Customs ambapo hushughulikia ushuru wa magari na bidhaa zinazoingizwa nchini kupitia bandarini wamekuwa ni mawakala wa wizi wa fedha za walipa kodi wa nchi hii.
Unakuta...
Kigwangala aandika haya katika ukurasa wake wa X;
Hii ni aina ya mambo ambayo hatuwezi kunyamaza. Ni aina ya mambo yenye viashiria vya ‘ubaguzi’ wa wazi.
State crafting inataka kulinda tunu...
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha
Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga
Ahsanteni Sana CCM Arusha 😂😂
Mlale Unono
"Nitasema ukweli daima fitna kwangu mwiko".
Ni kaulimbiu inayoeleza wajibu na sifa ya kweli ya mwanaCCM kwa mujibu wa katiba ya chama hicho.
WanaCCM wengi wamekuwa wakitumia kauli hii kuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.