JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,513
- 6,016
KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi.
Amesema hayo wakati akihutubia Wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 13, 2024 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku Nne Mkoani Katavi.
KINANA: RUSHWA NI ADUI WA HAKI, DINI ZOTE ZINAKATAZA NA CHAMA CHETU KINAKATAZA
Abdulrahman Kinana ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kujiepusha na bidhaa inayoitwa Rushwa kwa kuwa ikiendelezwa inaharibu maadili na kusisitiza kuwa Dini zote, Serikali zote pamoja na chama chake wote wanapinga uwepo wa Rushwa.