KATABA CCM MOMBA AMPA MAUA YAKE MBUNGE SICHALWE.
Na Mwandishi Wetu- Momba
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Momba Ndg. Kataba Sukuru amewataka wananchi wa Jimbo la Momba kuendelea...
Ninaomba kuelemishwa kuhusu nafasi ya Mhe. Spika wa Bunge la Jammhuri ya Tanzania. Je, kikatiba Mhe. Spika anatakiwa atokane na wabunge wa majimbo au kwa njia yoyote nyingine?
Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri.
Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy?
Mkuu wa Mkoa...
Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais...
Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote.
Ametoa pole kwa wananchi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amosi Makalla amemshauri aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa...
Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na...
Kuna habari Leo BBC Swahili Malawi wanaanzisha ule ugomvi wa mpaka kule ziwa Nyasa hivi wanatambua kwamba kwa sasa tuna Mr Presida ambaye hajaribiwi
=============================
Wengi...
Kwamba hata yule kijana aliyekamatwa Rungwe kwa kosa la kuipiga kiberiti picha ya Rais Samia, hana kosa lolote na hata wakamataji hawajui wampachike kesi gani, maana kwa katiba ya Tanzania kitendo...
Ndugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills,
Lengo la mkopo...
Zamani mawaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa walikua wa moto sana wakiwemo mheshimiwa hayati Benjamen William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Camilius Membe. Hata mawaziri wa...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, amepokea ujumbe wa Meya wa Mji wa Nsujini Mstahiki Andoir Maoulana ambaye amefika ubalozini kwa lengo la kupata fursa za ushirikiano baina ya eneo...
Na Laudence Simkonda-Momba
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Momba imemshukuru na Kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy) kwa mchango wake...
Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la...
Ulipoingia wizara ya nishati Kwa mara ya kwanza, ulikuwa na MIKAKATI mingi, customer care ikajitegemea, service za mitambo na njia za umeme, pesa zikalipwa na tatizo liko pale pale, software ya...
Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee.
Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za...
Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti...
Ni Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini, Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, Paul Kagame wa Rwanda, Felix Tshisekedi wa DRC, Yoweri Kaguta Mseveni wa Uganda, William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto wa...
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya...
Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa!
Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.