MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshikamano na ushirikiano baina ya watanzania wote bila kujali dini...
Vyama vya upinzani kwa sasa vimekosa mvuto kabisa kwa sababu ya kukosa maarifa na kutotambua waongee lipi na waache lipi.
Fikiria, Rais Samia aliamua kuwafungulia kutoka kifungo cha kutofanya...
TAARIFA KWA VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa...
Nafanya utaratibu wa kuweka clip hapa uone huyo machinga anavyotiririka kwa takwimu huku DC Bomboko akiwa na hofu kuu na RC Chalamila akikubali kila hoja ya machinga huyo
Kama Wamachinga...
Easther Bulaya
Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa Lijualikali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa.
Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo.
Ashangazwa kutumika...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.
My Take
Naunga mkono hoja, upumbavu wa...
Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe
(Andiko la July, 2016 na uhariri kidogo 2018. Uhariri tena mdogo Jan, 2019 )
Hupambana na Wafanyabiashara wakubwa '...
Rais Samia amewataka Wananchi katika sekta zote walipe Kodi Ili kujiletea Maendeleo kama Taifa
Rais Samia amesema si jambo jema kila aonekanapo Mtu mweupe basi tumkimbilie kumkopa kwani Mikopo...
Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa mitandaoni kwa sasa.
Huku namba ya Simu ya Kuchangia hela za faini ya mil 5 aliyobambikiwa mtuhumiwa huyo ikitolewa baada ya Wazalendo kujitokeza kulipa...
Unapopata muda pitia pitia page za Law societies of Kenya na Pia Tanganyika Law Societies Utaona utofauti mkubwa sana wa hizi taasisi kwenye kufanya kazi. Taasisi moja ni kama tawi la Chama...
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo...
RC MWASSA AWAITA WANANCHI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA KITAIFA KUPINGA UKATILI DHIDI YA MAALBINO. WAZIRI NDEJEMBI KUONGOZA UZINDUZI HUO.
Ni leo Jumanne Julai 09, 2024 kwenye Viwanja vya...
Wanabodi,
Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya...
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM...
Siku hizi imekua kawaida kwenye kila tukio hata ya kawaida tu ya muheshimiwa Rais wakuu wa Mihimili yote muhimu wanakua paraded Mbele yake kuanzia Spika , Jaji Mkuu , Mkuu wa Majeshi , Usalama...
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.