Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?

Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?

Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.

Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?

Lakini tumeona misafara ya watalii

Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?

Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.

Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.

Britanicca
 
Labda hawakuwa na visa 😂
 
Kelele za speaker zitawabughudhi wanyama. Na shauri lile zoezi la kusaka zile sare mitaani lianzie huko tuone kama nao watazuiliwa.
 
Yani kama kweli CCM wanatutakia mema, wangemleta Rais Mwinyi huku bara 2025. Tungekuwa na Dr Mwinyi wala tusingekuwa na shida yoyote. Hata wapinzani wasingepata chakusema.
 
Ana maajabu gani??
 
Lissu anayo passport na visa ya kuingia hayo maeneo? Hajui ni nchi ya ng'ambo huko?
 
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?

Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?

Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.

Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?

Lakini tumeona misafara ya watalii

Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?

Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.

Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.

Britanicca
LABDA MAENEO HAYO HAKUNA WANANCHI
 
Matendo mema hufanyika kwenye nuru, mambo maovu hufanywa kwenye giza na vificho. SSH anafanya mambo maovu Ngorongoro na ndio sababu ya kutotaka 'wapinzani' kuingia huko.

Yohana 3
[20] Kwa kuwa kila mtu atendaye maovu huchukia nuru, wala hapendi kuja kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe. [21] Lakini kila mtu anayeishi maisha ya uaminifu huja kwenye nuru, kusudi iwe wazi kwamba matendo yake yanatokana na utii kwa Mungu.
 
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?

Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?

Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.

Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?

Lakini tumeona misafara ya watalii

Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?

Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.

Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.

Britanicca
None of the above
 
Ila CCM 🤣🤣🤣 yaan wanamiliki kila kitu lkn ni waoga balaa 🤣🤣!! Imagine mikutano inawakera kufanyika bas tu!!
 
Kule wanakohamia nako kumenuka!
Wamasai wengi wanarudi kimya kimya. Wanadai watu wa Msomera ni mafundi balaa!! Nyumba hazilaliki! Homa haziishi!
Ilimradi maluwe luwe 24/7!
Hivi kwann walozi mnawaita mafundi??
 
Back
Top Bottom