Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimejaribu kutafakari zaidi na zaidi na zaidi, kuna gharama gani kwa kiongozi wa Serikali kutoka ofisini na kwenda kutatua shida za wananchi? Tumekuwa tukiona baadhi ya wakuu wa wilaya au mikoa...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Nimepita mahali! Nimekutana na hilo neno. Kuna wachache watakaokataa kauli hiii, ila sikio lakufa halisikii dawa. =========== Dar es Salaam. Kero nne za barabara, ardhi, umeme na huduma za...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Heshima, Upendo, Matumaini na Kuaminika, kwa Chama Cha Mapinduzi kwa wanainchi wa Tanzania, kuna tokana pamoja na mambo mengine, ni utekelezaji wa wa mafanikio makubwa sana, wa ilani ya uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
--- Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X...
13 Reactions
121 Replies
8K Views
Mh. Chalamila- Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, pole na majukumu ya kujenga Dar Es Salaam na Taifa kwa ujumla. Mkoa wa Dar Es Salaam kwa hivi karibuni umekuwa ukipata changamoto ya baadhi ya maeneo...
1 Reactions
0 Replies
400 Views
Wakuu, Nimetembea sana Ubungo lakini sijaona hivyo vitu. Je, ni wapi naweza ona hivyo vitu katika wilaya ya Ubungo. Hivi hapo Ubungo mataa wameshindwa kudesign ili pawe na majengo ya ghorofa ya...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesikia wanasiasa wanasema kutekana na kupotea kulikwisha ila kumeanza kurudi tena, hivi ni lini yalikwisha? Kwa kumbukumbu zangu kila baada ya muda tunasikia tukio la kupotea au kutekwa. Au...
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Kenya wanapeleka wachezaji 79 kwenye Olympic mwaka huu, na Olympic ndio imekuwa inaitangaza sana Kenya Kimataifa. Timu ya Olyimpic ya Kenya ikiwa Ikulu sijaona Wamevaa ujinga ujinga sijui picha...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
1: Naandika hapa nikiwa na majonzi sana. Moyo umeumia sana kiukweli nimeghafirika sana. Mimi sina chama kabsa lakini ni mpiga kura mzuri sana. Leo moyo wangu umeumia sana na kiukweli nimekata...
30 Reactions
70 Replies
7K Views
Makamanda salamu katika Bwana. Tunamshambulia sana..tunaponda sana najua ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa Nchi yetu. Sisi ambao tupo humu jamii forum ni mfano wa...
83 Reactions
517 Replies
37K Views
Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia...
28 Reactions
145 Replies
5K Views
Upuuzi na upumbavu umefanyika juzi uwanja wa taifa. Ila kuajiri watu wa muhimu hakuna
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa.... Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya... Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya...
3 Reactions
5 Replies
692 Views
♻️ Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi.. ♻️ Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo.. Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu.. ♻️...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi...
2 Reactions
8 Replies
523 Views
Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ... Na kwakua itakuwa...
2 Reactions
17 Replies
625 Views
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili ndilo naloliano kwa Mbowe kuachilia kitu ambacho umekipigania kwa jasho na Damu tangu ujana ni ngumu Ni Bora aimiliki Kama kampuni yake BINAFSI ambayo mkurugenzi wake ni wa maisha Kwa miaka...
1 Reactions
23 Replies
947 Views
Back
Top Bottom