Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa...
16 Reactions
151 Replies
4K Views
Uchambuzi wa Kitaaluma: Kwa nini vijana wa Tanzania wanaonekana kutoishabikia Serikali mitandaoni na hadharani? Na Mch.Malembela Emanuel(Mchambuzi wa Mambo ya kijamii na Diplomasia Ya Kiimani)...
5 Reactions
3 Replies
418 Views
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake. Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au...
12 Reactions
20 Replies
418 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya...
3 Reactions
16 Replies
268 Views
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani Mdogo kaenda kumpa hi...
21 Reactions
63 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu amewasihi Watanzania, hususan vijana, kulinda amani na utulivu wa nchi kwa kuwakataa wale wote wasiolitakia mema taifa. amesema hayo Agosti 14, 2026 wakati akishiriki katika...
1 Reactions
31 Replies
482 Views
Wasomi UDSM Waitaka Serikali Kuacha Kuingilia Uhuru wa Kitaaluma Wakizungumza katika mjadala wa kumkumbuka mwanazuoni Chachage Chachage leo Agosti 14, 2026,Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu...
2 Reactions
8 Replies
280 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimemsikiliza vyema sana Padre Charles Kitima neno kwa neno na kwa Umakini Mkubwa sana na kuangalia Uso na Macho yake pamoja na kuangalia Moyo wake kupitia Maneno yake na...
6 Reactions
66 Replies
614 Views
* Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi...
0 Reactions
8 Replies
143 Views
Mzee wangu, nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo na Amani iwe nawe huko uliko. Mimi ni kijana wako mdogo sana ambaye sistahili hata kushika gidamu ya viatu vyako wewe uliye mkuu wa nchi...
49 Reactions
118 Replies
14K Views
Nilikuwa naangalia Kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar nimeona uwepo wa viongozi wetu wa juu wa nchi, Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Nimejiuliza Waziri Mkuu...
7 Reactions
26 Replies
785 Views
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika. Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira...
0 Reactions
7 Replies
109 Views
Wadau napendekeza Mh. Lissu akitoka kwenye forced incarceration na kuwa Rais napendekeza awe anapiga pindi la Sheria hasa kwenye masomo yafuatayo; 1. Law of Evidence 2. Administrative Law 3. Law...
9 Reactions
24 Replies
251 Views
Angalia Ally Hapi, matamshi yake kama Idd Amin, ukatili! Hakuna diplomacy....mabavu kumfurahisha FULANI Sifa kubwa ni kuukana ukweli na kuutukuza uongo. Angalia akima kabudi, kitila, wasira...
1 Reactions
1 Replies
63 Views
Wakili Peter Madeleka amesema si kosa la kimaadili au la jinai kwa mtu yeyote, wakiwemo mawakili, kuongea na vyombo vya habari kwenye viunga vya mahakama baada ya ahirisho la kesi. Mahakama kuu...
3 Reactions
2 Replies
220 Views
Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya...
1 Reactions
14 Replies
124 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka...
3 Reactions
61 Replies
851 Views
Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti...
6 Reactions
9 Replies
153 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Judith Kapinga, amesema kuwa Serikali inafanyia kazi changamoto ya upandaji wa bei ya saruji kwa karibu ili kuhakikisha mwananchi wa kawaida anamudu gharama za...
0 Reactions
12 Replies
158 Views
14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities...
4 Reactions
7 Replies
102 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…