Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya...
2 Reactions
17 Replies
250 Views
Bodi ya usajili ya wakandarasi CRB wao ukimbilia kufungia makampuni ya ujenzi bila kujali makampuni yanapitia nini? Wana vikao vyao vya mwaka viongozi wa vyama vya wakandarasi wote ni machawa na...
6 Reactions
32 Replies
467 Views
Wanabodi Hii ni moja ya zile mada zangu za kikubwa zinazomtaka mtu kusoma kwa akili iliyotulia, na ili kuielewa,kunahitaji kiwango fulani cha uelewa!,kama wewe ni mwenzangu na mimi,wale wenye...
105 Reactions
596 Replies
54K Views
Wanabodi, Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Mmoja wa watu hawa ni...
19 Reactions
119 Replies
24K Views
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye nahisi ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama mmja wa...
104 Reactions
498 Replies
107K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la The Voices from Within,naomba kulianza kwa disclaimer Wanabodi Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa...
63 Reactions
265 Replies
36K Views
Nashangaa sana watu kujifanya hamnazo kura ya rais inaenda na makamu wake kwa ule ushindi wa kishindo kuchaguliwa na wananchi milioni 31 na kupata 98% tunaweza kusema kwenye huo ushindi wa...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
Wanabodi, Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni...
18 Reactions
173 Replies
27K Views
Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross...
1 Reactions
9 Replies
141 Views
Kwa hali ilipofikia lolote laweza kutokea, hata hivyo hatutashangaa, tushajua kila kitu.
12 Reactions
42 Replies
475 Views
Mtu una smartphone yako 📱 Una bando lako Una account Instagram, TikTok, Facebook au WhatsApp Unapost mawazo yako kwa sekunde chache tu unapata likes, comments na post yako inaweza kutrend...
0 Reactions
4 Replies
118 Views
Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
7 Reactions
18 Replies
411 Views
Ukiona huyu jamaa anavyopigania pesa za uwekezaji Maraisi wengine wamebaki kupingana na demokrasia na kuajiri machawa . Kapigania mradi wa Dangote kwa udi na uvumba, kapigania pesa ya afya ya...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile... Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka...
19 Reactions
48 Replies
666 Views
Na, in fact, hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo...
4 Reactions
51 Replies
341 Views
Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
-2 Reactions
12 Replies
200 Views
Kweli dunia ni uwanja wa fujo, Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka. Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa. Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma...
1 Reactions
1 Replies
83 Views
Je, ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa...
2 Reactions
83 Replies
1K Views
Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango...
2 Reactions
22 Replies
673 Views
Back
Top Bottom