Haka kamchezo ka leo kamenichekesha sana!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,750
Reaction score
861,162
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani

Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo

Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa tension na chuki iliyopo kati yao.. Aliyepanga hii visit hakuwa na nia njema bali kumharibia

Chemistry ya leo formula ilikataa upande mmoja na kama ni mechi basi ilichezwa nusu uwanja

Hivi ni sawa kweli kuchanganya togwa na ulanzi!?
Kichekesho kikubwa ni kwamba mwamba aliyeko korokoni ndio kabamba,😂
IMG-20260809-WA0046.jpg
 
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani

Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo

Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa tension na chuki iliyopo kati yao.. Aliyepanga hii visit hakuwa na nia njema bali kumharibia

Chemistry ya leo formula ilikataa upande mmoja na kama ni mechi basi ilichezwa nusu uwanja

Hivi ni sawa kweli kuchanganya togwa na ulanzi!?
Kichekesho kikubwa ni kwamba mwamba aliyeko korokoni ndio kabamba,😂View attachment 3647906
Tatizo Wagalatia nao zama hizi ni njaa pia..si ajabu hata Mzigo umejaa na Mama yao asivyokuwa na siri tutayajua tu siku moja .

Kama aliwapa kwa hiari hela ya Mboga na kuanzia Maisha akina Wenje,Lema na Lissu waliporejea Nchini,akayatoa hadharani tena kwa kuwalalamia kwamba hawaimbi pamoja naye!!?

Labda....!Lakini huu unaweza ukawa ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa Enzi za Kitima kuikosoa Serikali hadharani..

Hata Askofu Kilaini alikuwa mkosoaji mzuri.kumbe Altarini imechimbia Lumbesa za Manoti kutoka kwa Bilionea Rugemarila..Ile kusanuka tu akala winga na kimyaaa mpaka Leo hii.
 
Tabia moja inayompambanua Samia na wengine wote waliowahi kukaa kwenye nafasi hiyo ni kuamini kuwa anaweza kununua watu ili atimize matakwa yake.
Ninn pale tu inaposhindikana kuwanunua ndipo matumizi ya dola huachiwa kazi kushughulikia walengwa.

Kuhusu kuwanunua waghalatia, mbona hilo alishafanya mara nyingi tu, na kila mara inashindikana.

Ruaichi alipewa milioni kumi wakati wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, hakunyamaza.

Pesa ya mafuta ya gari kwa dioces mpya ya Bagamoyo, haikuwazuia kukataa uovu wake

Kwa hiyo usitegemee hata leo kama anatafuta kuwanunua watazame pembeni anapofanya maovu yake, hilo asahahu.

Hawa ni watu wenye 'misimamo; hawayumbi na upepo.
 
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani
"Haka Kamchezo ka Leo" ..., mimi nimekapenda kwa sababu katafunua nyeti zao zote tuzione hadharani. Hakuna namna tena ya kuzifichaficha watu wasizione bayana.

Baada ya hapa, ule ubishi ulioanza kuenea juu ya makundi miongoni mwa watenda maovu utakuwa umesawazishwa.
 
Tabia moja inayompambanua Samia na wengine wote waliowahi kukaa kwenye nafasi hiyo ni kuamini kuwa anaweza kununua watu ili atimize matakwa yake.
Ninn pale tu inaposhindikana kuwanunua ndipo matumizi ya dola huachiwa kazi kushughulikia walengwa.

Kuhusu kuwanunua waghalatia, mbona hilo alishafanya mara nyingi tu, na kila mara inashindikana.

Ruaichi alipewa milioni kumi wakati wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, hakunyamaza.

Pesa ya mafuta ya gari kwa dioces mpya ya Bagamoyo, haikuwazuia kukataa uovu wake

Kwa hiyo usitegemee hata leo kama anatafuta kuwanunua watazame pembeni anapofanya maovu yake, hilo asahahu.

Hawa ni watu wenye 'misimamo; hawayumbi na upepo.
Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.

Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.
 
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani

Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo

Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa tension na chuki iliyopo kati yao.. Aliyepanga hii visit hakuwa na nia njema bali kumharibia

Chemistry ya leo formula ilikataa upande mmoja na kama ni mechi basi ilichezwa nusu uwanja

Hivi ni sawa kweli kuchanganya togwa na ulanzi!?
Kichekesho kikubwa ni kwamba mwamba aliyeko korokoni ndio kabamba,😂View attachment 3647906
Mambo ni fire 🔥 hali si hali. Soon utasikia Tundu Lissu kaachiwa, eti Baraza la Maaskofu limenishauri.
 
Anza kumfuatilia Kitima kuanzia leo kama utamsikia anapiga kelele tena.!Method Kilaini Yuko wapi?!Kukataa Milioni 10 ya Birthday na hiyo ya kutotishika kujaziwa mafuta hizo huwa ni hadaa tu zenye kulenga kuwaaminisha Waumini wao kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo ..Kanisa Katoliki linahitaji sana msaada wa ki pesa kwa sasa tangu liwepo na ni kwa Dunia nzima.

Kumpanga Samia kwamba tutapiga kelele usijali ila tuko pamoja hao jamaa ni jambo jepesi tu,ni waviziaji wazuri na wasoma upepo makini sana,ili wasisambaratike kirahisi.
Umeng'ang'ania mfano wa Kilaini, kana kwamba ndiye 'standard bearer'!

Mimi nimekwambia, hawa ni watu wanaojitambua; kama maana ya neno hilo hulijui, jaribu kutafuta maana yake.
Usifikiri hata siku moja hawa kuuza utu wao kwa sababu ya vipande vya dhahabu.
Kazi ya hawa ni zaidi ya hayo unayoyawekea wewe mkazo.
kwamba wako ndani ya Taasisi imara sana isiyo yumba,lakini ukweli haiko hivyo
Wewe tafsiri hii umeipata wapi; unao mfano wowote unaoonyesha taasisi ikiyumba? Hukuona Juzi Mkuu wao alivyovimbiana na mkuu wa mabepari duniani; au huko kuyumba wewe umekusikia wapi?
 
Umeng'ang'ania mfano wa Kilaini, kana kwamba ndiye 'standard bearer'!

Mimi nimekwambia, hawa ni watu wanaojitambua; kama maana ya neno hilo hulijui, jaribu kutafuta maana yake.
Usifikiri hata siku moja hawa kuuza utu wao kwa sababu ya vipande vya dhahabu.
Kazi ya hawa ni zaidi ya hayo unayoyawekea wewe mkazo.

Wewe tafsiri hii umeipata wapi; unao mfano wowote unaoonyesha taasisi ikiyumba? Hukuona Juzi Mkuu wao alivyovimbiana na mkuu wa mabepari duniani; au huko kuyumba wewe umekusikia wapi?
Pole sana..!..Unaelewa Trump kwanini alimtamukia kabisa Papa kwamba huo Upapa ameupata safari hii ni kwa Sababu tu ni anatokea MAREKANI na Ni MMAREKANI??

Halafu ufuatilie Historia ya Mapapa waliopita na Nchi walizokuwa wanatokea??

Siku ukienda Mwanza nenda Hospitali Moja inaitwa Bukumbi ya Kanisa Katoliki..usingizie tu hata kikohozi utibiwe au ulazwe kabisa ..kisha urudi hapa usimulie.Shule nyingi tu za Wakatoliki hata Mishahara tu Walimu wanaipata kwa Mbinde sema wanabembelezwa wasi publish mambo.Nadhani kuna wakati Shule Moja kule Bukoba waliamua kugoma kabisa.na media ziliandika.
 
Umeng'ang'ania mfano wa Kilaini, kana kwamba ndiye 'standard bearer'!

Mimi nimekwambia, hawa ni watu wanaojitambua; kama maana ya neno hilo hulijui, jaribu kutafuta maana yake.
Usifikiri hata siku moja hawa kuuza utu wao kwa sababu ya vipande vya dhahabu.
Kazi ya hawa ni zaidi ya hayo unayoyawekea wewe mkazo.

Wewe tafsiri hii umeipata wapi; unao mfano wowote unaoonyesha taasisi ikiyumba? Hukuona Juzi Mkuu wao alivyovimbiana na mkuu wa mabepari duniani; au huko kuyumba wewe umekusikia wapi?
Na kipindi Kitima akiwa Makamu Mkuu wa SAUT kuna posho ya Wanachuo wa Fani ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi ilikuwa inatolewa na Serikali kwa SAUT ilikuwa haiwafikii ..inaelekezwa kwenye matumizi mengine ili kuokoa jahazi..Nadhani Mwenge kule ilifika wakaligomea hilo na Kitima akaenda kule akawaambia hatoi waende popote wa kanywea.ila kuna mmoja alimbana sana akatoa maagizo ya kufukuzwa na ikawa hivyo..Kata Rufaa za hapa na kule ..wapi akakata tamaa..niliwahi kukutana naye huyo jamaa Musoma Mjini na akanisimulia..Sasa kama ndiyo misimamo hiyo isiyo yumba unamaanisha labda......!!!!???Ni majanga tu..
 
Pole sana..!..Unaelewa Trump kwanini alimtamukia kabisa Papa kwamba huo Upapa ameupata safari hii ni kwa Sababu tu ni anatokea MAREKANI na Ni MMAREKANI??
Kwa hiyo wewe hukumbuki alivyoambiwa kuwa "hamwogopi"?
hata hivyo, 'relevance' ya hayo maneno siioni popote katika hoja yako ya mwanzo.

hiyo habari ya kutafuta historia za hao mapapa wengine, muda huo sina. Mimi natazama tu haya tuliyonayo sasa hivi na dunia inavyokwenda.
Wewe umehitimisha tayari kwamba taasisi hiyo ipo kwenye wakati mgumu, mimi sioni ugumu huo wa kuwafanya waachane na kazi ya utume wao ili wafanye biashara!
 
Na kipindi Kitima akiwa Makamu Mkuu wa SAUT kuna posho ya Wanachuo wa Fani ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi ilikuwa inatolewa na Serikali kwa SAUT ilikuwa haiwafikii ..inaelekezwa kwenye matumizi mengine ili kuokoa jahazi..Nadhani Mwenge kule ilifika wakaligomea hilo na Kitima akaenda kule akawaambia hatoi waende popote wa kanywea.ila kuna mmoja alimbana sana akatoa maagizo ya kufukuzwa na ikawa hivyo..Kata Rufaa za hapa na kule ..wapi akakata tamaa..niliwahi kukutana naye huyo jamaa Musoma Mjini na akanisimulia..Sasa kama ndiyo misimamo hiyo isiyo yumba unamaanisha labda......!!!!???Ni majanga tu..
hizi simulizi zako zinashangaza. Kwa hiyo huu nao ni mfano mwingine wa taasisi hiyo kuwa na matatizo. Mbona hekla haikutolewa na mhusika ikabidi aondoke, au maana yako ya kuyumba ni ipi?

baada ya hapo hizo hela hazikuendelea kutolewa?
 
Apewe nani watu walinywea wote na mwenzao akawa mbuzi wa kafara..Au wewe kwa fikira zako unadhani ni kipi kinaweza kufanya pesa ielekezwe kwingine kama siyo ukata au umejipanga kubisha tu!?Chakula Cha Seminari chenyewe tunachanga Waumini na ada inalipwa na Maoaroko husema kabisa Vatican fungu la kuendesha Seminary kitengo kilichokuwa kinaratibiwa chini ya usimamizi wa Papa Moja kwa Moja hela hakuna hakina uwezo huo tena.!??
 
Back
Top Bottom