Sifa kubwa ni kuwa katili ili uteuliwe

Sifa kubwa ni kuwa katili ili uteuliwe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,899
Reaction score
101,324
Angalia Ally Hapi, matamshi yake kama Idd Amin, ukatili! Hakuna diplomacy....mabavu kumfurahisha FULANI

Sifa kubwa ni kuukana ukweli na kuutukuza uongo. Angalia akima kabudi, kitila, wasira, bashite, etc etc etc.

Ukionekana kutumia busara akili unatupwa nje eg Simba Chawene
 
Back
Top Bottom