Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

=== Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akijibu swali kutoka kwa Muhidini, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tengeru Institute of Community Development...
14 Reactions
39 Replies
695 Views
Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye...
10 Reactions
19 Replies
408 Views
Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC...
12 Reactions
53 Replies
1K Views
Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye...
3 Reactions
9 Replies
191 Views
Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto. Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na...
17 Reactions
20 Replies
532 Views
sijui kama hizo baraka mnazipata wanasiasa makatili wakejaa damu za watu wapigania haki za wananchi walio wengi kama Polepole damu yake huo ni mfano au waliompiga risasi Tundu Lissu njoo mauaji...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Piga kura kwa usalama! 👑✨ Unapomuunga mkono mshiriki wetu wa Miss Grand International, hakikisha unatumia viunganishi (links) rasmi pekee ili kupiga kura, na usitoe taarifa zako binafsi kama vile...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Badala ya kuchambua siasa za Mashariki ya kati yeye kuwaaminisha Masheikh wa upanga kuwa tatizo ni uzayuni Jamaa muongo muongo sana USSR
2 Reactions
53 Replies
735 Views
Kafulila: Taasisi Inayoongozwa na Mwanamke Huleta Mafanikio zaidi. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika Tengeru Institute of...
14 Reactions
51 Replies
614 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema sekta binafsi au ubia kati ya Serikali na sekta binafsi hujitokeza katika eneo ambalo kuna makutano ya maslahi kati ya...
15 Reactions
41 Replies
729 Views
Kwasababu, vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama...
5 Reactions
44 Replies
271 Views
Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe. Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya...
3 Reactions
41 Replies
543 Views
Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya...
4 Reactions
18 Replies
232 Views
Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi. My worries: watamuua kama Chaula!
18 Reactions
137 Replies
2K Views
Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu? Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu...
4 Reactions
38 Replies
474 Views
Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike...
14 Reactions
50 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania! Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la...
25 Reactions
87 Replies
2K Views
Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili. Fedha nyingi...
1 Reactions
54 Replies
588 Views
Mwenye uhakika atuwekee hapa. Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa This would be the worst day of my life in politics
11 Reactions
87 Replies
2K Views
Back
Top Bottom